uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #261
Market strategicHiyo naona ni nchi jirani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Market strategicHiyo naona ni nchi jirani mkuu
KaribuHaya
Kwahio mpangaji unamtimua ama!?Pia kwa sasa ina mpangaji anayelipia laki mbili kwa mwenzi
Mkataba wake umekwisha pia Mkuu,nimeshamjulishaKwahio mpangaji unamtimua ama!?
Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 18.
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313
Unajua maana ya neno sawa na neno bure?Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 18.
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313
Nimeelewa nilicho kifanya ,hizo ni mbinu tu za kibiashara,market game,kumvuta mtu afungue Uzi asomeUnajua maana ya neno sawa na neno bure?
Pengine nisingeandika hivyo usingeufungua uziUnajua maana ya neno sawa na neno bure?
Kimezungukwa na Nyumba,angalia vizuri utaona Nyumba nyuma,apo ndo vizuri hewa nzuri ,hakuna kujuana kwingi unafanya mambo yako vizuri,sio uswaziHako kamsitu na hizi pilika zetu kwenye mitandao...sijui!!!
Iko vizuri sana
ipo maeneo ya mbagalaBarabara ya Morogoro road ndio ipo wapi hii?
Duhipo maeneo ya mbagala
Umeme upo apo apo Mkuu,na gari inafika kwa urahisi kabisa mpaka kwenye nyumbahujasema kuhusu umeme maji na njia za kutoka kwenda morogoro road je zinapitika kwa gari
ok muuzaji ni wewe au ni dalali? na hati yake ni ya kimila au serikali ,na haina mkopo benki ..pia bei inamaongezi au hapo ndo mwisho ukinijibu hayo uweke na namba ya muuzajiUmeme upo apo apo Mkuu,na gari inafika kwa urahisi kabisa mpaka kwenye nyumba
Muuzaji mkuu,ina hati ya serikali,haina deni lolote benk,,maongezi yapo kwenye bei,nakutumia nambaok muuzaji ni wewe au ni dalali? na hati yake ni ya kimila au serikali ,na haina mkopo benki ..pia bei inamaongezi au hapo ndo mwisho ukinijibu hayo uweke na namba ya muuzaji