Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Hako kamsitu na hizi pilika zetu kwenye mitandao...sijui!!!
Kimezungukwa na Nyumba,angalia vizuri utaona Nyumba nyuma,apo ndo vizuri hewa nzuri ,hakuna kujuana kwingi unafanya mambo yako vizuri,sio uswazi
 
hujasema kuhusu umeme maji na njia za kutoka kwenda morogoro road je zinapitika kwa gari
 
Umeme upo apo apo Mkuu,na gari inafika kwa urahisi kabisa mpaka kwenye nyumba
ok muuzaji ni wewe au ni dalali? na hati yake ni ya kimila au serikali ,na haina mkopo benki ..pia bei inamaongezi au hapo ndo mwisho ukinijibu hayo uweke na namba ya muuzaji
 
ok muuzaji ni wewe au ni dalali? na hati yake ni ya kimila au serikali ,na haina mkopo benki ..pia bei inamaongezi au hapo ndo mwisho ukinijibu hayo uweke na namba ya muuzaji
Muuzaji mkuu,ina hati ya serikali,haina deni lolote benk,,maongezi yapo kwenye bei,nakutumia namba
 
Back
Top Bottom