Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Magufuli aliwaingiza watu mkenge sana, Dodoma ni manispaa tu hiyo siyo Jiji.

Million 50 unapata nyumba Dar tena kilometer chache kwenda City Center.
Mkuu Dodoma is a big thing, mji unakua kwa kasi sana na unapangika vizuri. Serious investers hasa kwa real estate ni sehemu sahihi.
 
Mkuu sehemu ya kuwekeza upande wa real estate ni Kibaha Kongoe ..karibu na reli ya Standard gauge inapopita pia kuna kituo kikubwa cha reli (Station) pia kule washatenga maeneo ya viwanda na wawekezaji wanajenga viwanda kwa kasi ..barabara ya lami inatengenezwa afu ni 10km kutoka Morogoro Road

Viwanja vinauzwa bei ndogo sana 400sq 1.5m Just imagine
 
Nauza KIWANJA Ndani ya Jiji la DODOMA barabara kuu ya Singida kina sqm 462 kina hati miliki ya kielectronic kina msingi bei ni sh 65,000,000/- nitafute 0683670160 ni makazi na biashara fremu nne vyumba vya kulala vitatu View attachment 2285290View attachment 2285303
Milioni 65 kwa sq 462? Kwa mahesabu ya haraka haraka maana yake bei kwa sq mita ni zaidi ya Tshs 140,000.
Si mchezo..!!!
 
Milioni 65 kwa sq 462? Kwa mahesabu ya haraka haraka maana yake bei kwa sq mita ni zaidi ya Tshs 140,000.
Si mchezo..!!!
KIWANJA kina hati tayari, kina foundation ya fremu nne vyumba vitatu master vya kulala, jiko, sebule, public toi, kimetazamana na barabara kuu ya kwenda singida, shimo la choo kubwa na limejengewa, kifusi kimeshajazwa huduma zote zipo, dodoma chumba master unapangisha hadi 130000/_ double 25000/- karibu 0683670160, ni mali yangu mwenyewe, pia nina eneo la viwanda vidogo km 2 kutoka barabara ya singida kina SQM 2850 kwa mil45 kina hati tayari
 
Back
Top Bottom