Nani apoteze pesa kununua Dodoma maana capital city ya Dodoma ilikufa na JPM. Dar sasa ndiyo capital city ya Tanzania bwasheeProperty Investor Company (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vya miradi yake mji mkuu DODOMA
viwanja vimepimwa[emoji736]
viwanja vinaanzia 3.6mil tu
lipa kidogo kidogo hadi miezi 6, bila riba
ENEO; CHAMWINO -chang'ombe
UMBALI; 1km kutoka barabara ya Lami
UKUBWA; 600sqm na kuendelea
BEI; 6,000 kwa sqm
mji unaokua kwa kasi zaidi dodoma
wahi sasa viwanja vimebaki vichache
mteja atalipa kidogo kidogo hadi miezi 6, bila riba wala dhamana
site visit ni kila siku, bila gharama yoyote
kwa mawasiano zaidi
0688753191
KARIBU SANA
#propertyinvestor #realestate #viwanjadodoma #pic #viwanjabeirahisi #milikiardhiyako #lipakidogokidogo #chamwino #nala #chahwa #iyumbu #miyuji #ihumwa #mkalama #msalato #mtumba #viwanjabejnafuumno
Nani apoteze pesa kununua Dodoma maana capital city ya Dodoma ilikufa na JPM. Dar sasa ndiyo capital city ya Tanzania bwashee
Umbali kutoka feri ni kilomita ngapi?View attachment 1878068
.Mradi mpyaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
_____________________
KIGAMBONI MWONGOZO.
VIWANJA VIKO KARIBU KABISA NA DEGE KWENYE MAJENGO YA NSSF YALIYOSIMAMISHWA NA MH RAIS.
_______________________
Mradi uko sehemu nzuri sana maana barabara tumezichonga na kufikisha huduma zote za kijamii kama maji na umeme, eneo limejengeka na lina makazi bora zaidi.
Umbali: 1.5km kutoka lami
Ukubwa: 400sqm, 500sqm
Bei yetu kwa SQM ni 13,000/= tu
viwanja vinaanzia 5.5mil tu
unaweza lipa 50% sisi tunaanza
maandalizi ya hati ukimaliza 50% unapatiwa hati yako.
Kwenda site ni bure kabisa
Wasiliana nasi kwa
0688753191
#Kigamboni #Mwongozo #hatimiliki
#viwanja #Dege
Njia inayoingilia Baobab schools mbele mbele ndio kunaitwa Vikawe!Vikawe ni wapi