Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafika Dege?
Vina hatimiliki ya miaka mingapi?
Viwanja vinaanzia 3.6mil tu
ENEO: Amani gomvu (kigamboni)
(Karibu na city collage - chuo cha afya)
Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami
Samahani, hivi City college ipo Cheka au Mwembe Mdogo?
tumeamia Chato
3km kutoka mizani mlandizi
uelekeo wa bandari mpya ya kwala
lipa kitaratibu hadi miezi 6 bila riba
kuona site ni kila siku, bila gharama yeyote
1.Mashambo yapo kijiji gani?
2.Kuna umbali gani toka barabara ya kuelekea Kwala?
3.Yani hati (title deed)?
Umeme upo umbali gani? Kama kuna mtu alichimba kisima, maji ni chumvi au baridi?
Asante. Jibu # 2 na 3mashamba yapo visesi
umeme na maji vipo karibu
0688753191
3km kutoka mizani mlandizi
uelekeo wa bandari mpya ya kwala
3km kutoka mizani mlandizi
uelekeo wa bandari mpya ya kwala