Polepole ayanunua kwa chenji ya manunuzi wasanii na wabunge
Tafuta wateja nakupeleka kupima mwenyewe kila mkoa utaotaka na vipo mijini kabisa hivo ukitaka kujenga supermarket ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole ayanunua kwa chenji ya manunuzi wasanii na wabunge
Mkuu naomba kufahamu hiyo 300 sqm ni sawa na mita ngapi kwa marefu na mapana ya hicho kiwanaja.
Hii ni sawa na mita 20 kea mita 15...ukizidisha utapata hiyo 300
Toa mchanganuo wa huo ulipaji wa miezi 9!
Halafu hivyo viwanja mlivipataje then ndio mnauza...?
1.
Unalipa nusu bei,
Tunasign document wewe na wanasheria wako pamoja na sisi, tunaanza kushughulikia hati,
Inayobaki, igawe kwa io miezi 9, utakua unalipa mpaka utakapomaliza, unapata na hati yako
2.
Kuhusu sisi tumevipataje viwanja,
Kuna miradi wenye maeneo wanatuletea ofisi, tuwauzie, so tunaingia nao mkataba alafu tunafata taratibu zote za upimaji na uthibitishaji kutoka wizara ya ardhi, hivyo tunaanza kuuza
Pia kuna miradi tunainunua kutoka kwa wenye maeneo moja kwa moja, na kufata taratibu zote na kuanza kuiuza sisi kama sisi
0688753191
Uwazi ni mzuri sana1.

Mbali kama wafanya kazi mjini, ila karibu kwetu tunaojitafutia Boko, Tegeta, Salasala, Africana, Kunduchi, Uninio, Mbezi Beach, Goba na Kawe...Sema Bunju Mbali sana from City Center
Mkuu Nala Dodoma ni Km ngapi toka Main road?Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #MADALE
VIWANJA VIMEPIMWA [emoji736]
Location: Madale Mivumoni
( karibu na shule ya Atlas )
Distance: 1.5 km to main road
Size: 500+ sqm ( 20 * 25)
Price: 30,000 kwa sqm
Malipo mpaka kwa miezi 6
Kwa maelezo zaidi
0688753191
#madale #propertyinvestor #pic #viwanjabeinafuu #viwanjagulio #buyplots #milikikiwanja #milikikiwanjadar #madalemivumoniView attachment 1641499
View attachment 1641500
Mkuu Nala Dodoma ni Km ngapi toka Main road?
Mkuu Nala Dodoma ni Km ngapi toka Main road?
Mkuu hicho cha kuanzia milion 3 nalaki 6 kinakuwaje? Sisi wengine hatuna uzoefu waviwanja wala hatujui kiwanda kinatakiwa kiwe ngapi kwangap
Umbali gani kutoka ferry?kiwanja mara nyingi vinakua ni 20 kwa 20 yaani 400sqm, ila ivyo vinaanzia 300sqm, ambayo bei yake ni 3.6mil, sasa ukitaka icho cha 400 au hata 600. unazidisha na bei 12,000 kwa sqm moja, unapata bei kamili
mfano:
300sqm = 3.6mil
400sqm = 4.8mil
600sqm = 7.8mil
na kuendelea kutokana na mapenzi ya ukubwa wa kiwanja ukitakacho
kwa maelezo zaidi
0688753191
Umbali gani kutoka ferry?
Unapita Avic town? Unapita geza?18km kutoka ferry,
unapanda daladala za cheka
karibu sana
0688753191