Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

[emoji682] VIWANJA BUNJU-A[emoji682]

Property investors inatangaza uuzaji wa viwanja maeneo ya #bunju
Viwanja VIMEPIMWA[emoji736]

Location: Bunju A
Distance: 4.5 km to main road
Size: 800+ sqm ( 20 * 40)
Price: 20,000 sqm
Malipo mpaka kwa miezi 10

Kwa mawasiliano zaidi
0688753191

#viwanjagulio # viwanjabeinafuu #buyplots #milikikiwanja #pic #propertyinvestor #viwanjadar #milikikiwanjadar #bunju
IMG_9685.jpg

IMG_9653.jpg

IMG_9065.jpg
 
[emoji682]viwanja - kigamboni [emoji682]

Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
Viwanja vyote VIMEPIMWA [emoji736]

Viwanja vinaanzia 4.5mil tu

Location: Amani gomvu (kigamboni)
(Karibu na city collage - chuo cha afya)
Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami
Distance: 600m to main road
Size: 300 sqm +
Price: 15,000 kwa sqm
Lipa kidogo kidogo mpaka kwa miezi 9

Kwa maelezo zaidi
0688753191

#mwembemdogokigamboni #propertyinvestor #pic #viwanjabeinafuu ##buyplots #milikikiwanja #kigambonimpya
IMG_0606.jpg

IMG_0607.jpg

IMG_0599.jpg
 
[emoji682]Dodoma Dodoma Dodoma[emoji682]

Maeneo ya mradi
1. Chamwino
viwanja vipo 1km kutoka main road
6,000 kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu

2. Nala
viwanja vipo 1km kutoka main road( singida road)
6000 kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu

3. Chahwa
Viwanja vipo 1km kutoka main road
6000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu

4. Mtumba (mji wa kiserikali)
Viwanja vipo 2km kutoka main road
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 5mil tu

5. Msalato - ( karibu na airport mpya)
Viwanja vipo 2km kutoka main road (arusha road)
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 8mil tu

6. Iyumbu
Viwanja vipo 1km kutoka main road (UDOM road)
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 6mil tu

7. Ihumwa - (opposite na jeshini)
viwanja vipo 1km kutoka main road
12,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 6 mil tu

MALIPO
lipa kidogo kidogo hadi miezi 6, bila riba wala dhamana[emoji736]
kamilisha upate hati yako[emoji736]
kuona site ni haki yako, kwetu ni kila siku na bila gharama yeyote[emoji736]

Kwa mawasiliano zaidi
0688753191

KARIBU SANA
IMG_9671.jpg

I
 
Vipi kuhusu huduma zingine muhimu zilizopo karibu na viwanja?
Nini faida za msingi kununua kiwanja maeneo hayo na sio kwingine?

Mleta mada jaribu kudadavua.
 
Vipi kuhusu huduma zingine muhimu zilizopo karibu na viwanja?
Nini faida za msingi kununua kiwanja maeneo hayo na sio kwingine?

Mleta mada jaribu kudadavua.

Okeey, faida za eneo hilo,
Landscape yake ipo vizuri, hivyo hakuna usumbufu katika ujenzi

Ni karibu kutoka lami, mita 600 tu,
Hivyo ukishuka kwenye daladala, huhitaji tena usafiri mbadala, zaidi ya miguu yako, hivyo tusio na vyombo vya usafiri binafsi imeturahisishia

Huduma za kijamii kama maji na umeme vyote vimefika mpaka kwenye viwanja

Ni jirani na chuo, hivyo unaweza kufanya biashara kwa huo mzunguko

Hitimisho, VIWANJA VIMEPIMWA! Hivyo unapata na hati yake
 
[emoji682]viwanja - kigamboni [emoji682]

Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
Viwanja vyote VIMEPIMWA [emoji736]

Viwanja vinaanzia 4.5mil tu

Location: Amani gomvu (kigamboni)
(Karibu na city collage - chuo cha afya)
Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami
Distance: 600m to main road
Size: 300 sqm +
Price: 15,000 kwa sqm
Lipa kidogo kidogo mpaka kwa miezi 9

Kwa maelezo zaidi
0688753191

#mwembemdogokigamboni #propertyinvestor #pic #viwanjabeinafuu ##buyplots #milikikiwanja #kigambonimpyaView attachment 1638577
View attachment 1638578
View attachment 1638579
Mkuu naweza kupata njia ya Morogoro kuelekea Kibaha?
 
Okeey, faida za eneo hilo,
Landscape yake ipo vizuri, hivyo hakuna usumbufu katika ujenzi

Ni karibu kutoka lami, mita 600 tu,
Hivyo ukishuka kwenye daladala, huhitaji tena usafiri mbadala, zaidi ya miguu yako, hivyo tusio na vyombo vya usafiri binafsi imeturahisishia

Huduma za kijamii kama maji na umeme vyote vimefika mpaka kwenye viwanja

Ni jirani na chuo, hivyo unaweza kufanya biashara kwa huo mzunguko

Hitimisho, VIWANJA VIMEPIMWA! Hivyo unapata na hati yake

Toa mchanganuo wa huo ulipaji wa miezi 9!
Halafu hivyo viwanja mlivipataje then ndio mnauza...?
 
Mkuu naomba kufahamu hiyo 300 sqm ni sawa na mita ngapi kwa marefu na mapana ya hicho kiwanaja.
 
Wakuu nina mradi wa kuwauzia wananchi viwanja vyote vya ccm ili wakufuga afuge au anaetaka kulima alime
 
Back
Top Bottom