Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Distance kutoka feri hadi hapo?

20km bossi,
kuna daladala, chap yan
IMG_1026.jpg
 
Mpk hapo imedhihirisha kuwa wewe ni maghumashi, Asante kwa kushiriki.
 
Kwa tahadhali ukitaka kununua kiwanja jitahidi iwe Mita angalau ishirini kutoka barabala kuu maaana hii miji inakuwa utakuja vunjiwa nyumba yako ushazeeka na hakuna fidia upate vidonda vya tumbo vya uzeeni

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
[emoji682] CHEKA [emoji682]

Property investors (PIC) inatangaza uuzaji wa viwanja KIGAMBONI maeneo ya #cheka
Viwanja VIMEPIMWA [emoji736]
Viwanja vipo vizuri, tambarale

Location: #CHEKA
22km kutoka kigamboni ferry
distance: 3km kutoka main road
Size : 600+ sqm
Price: 15,000/= kwa sqm
Malipo mpaka miezi 9

Kwa mawasiliano
0688753191

#propertyinvestor #pic #kigamboni #cheka #viwanjadar #viwanjagulio
IMG_0512.jpg

IMG_0485.jpg

IMG_0448.jpg
 
Vipo baharini au? Pia naweza pata kiwanja zaidi ya ekari tatu hapo Kigamboni?
 
Mimi nahitaji kiwanja ila nahitaji kilichopo karibu na bahari hapo , kisiwe mbali na mji. kama kipo PM iko wazi.
 
[emoji682] Dodoma Dodoma Dodoma [emoji682]

Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya chamwino, chahwa na nala
Viwanja vyote VIMEPIMWA [emoji736]
Viwanja vinaanzia 3 mil tu

Location: Chamwino
Distance: 1km to main road
Size: 500sqm +
Price: 6000/= kwa sqm
Malipo mpaka kwa miezi 6

Location: Nala
Distance: 1km to main road
Size : 500sqm +
Price: 6,000 kwa sqm
Malipo mpaka kwa miezi 6

Location: Chahwa
Distance: 1km to main road
Size: 500sq
IMG_0081.jpg

m +
Price : 6000/= kwa sqm
Malipo mpaka kwa miezi 6

Kwa maelezo zaidi
0688753191
0688753191

#dodoma #propertyinvestor #pic #viwanjabeinafuu #viwanjagulio #buyplots #milikikiwanja #chahwa #nala #chamwinododoma #viwanjadodoma
 
Back
Top Bottom