Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Hiyo ndiyo bei nafuu?
Yani mimi ndo mana huwa sinunui viwanja kwenye haya makampuni. They exploit much.
Ukiwa na hata 5m mkononi wew pita tu mitaa ya mbweni hata kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa mwambie nataka kiwanja. Humalizi wiki unapata yani gharama yake unaeza kuta ungenunua kwenye kampuni ingekua double.
Niliacha zamani kununua viwanja kwa kutumia hizi kampuni baada ya kunipiga kwenye kiwanja changu kilichoko njia nne Goba. Yani kampuni imeniuzia kwa 10m alaf kumbe jirani yangu anauza kiwanja cha ukubwa uleule kwa 6M
Nilichoka