Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

McAnton

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
259
Reaction score
37
Habari Njema toka Kim's Real Estate Agency...Sasa viwanjwa vya Chanika tumeshusha Bei...toka 2,500,000/= hadi 1,500,000/=....hii ni kumaanisha kuwa kwa 1.5M to unajipatia kiwanja..Ni offer ya Mwezi mmoja...Viwanja viko Chanika mwendo wa Dakika 5 toka Chanika mjini...WAHI MAPEMA KABLA HUJACHELEWA
PIGA SIMU NAMBA: 0713565999
 
Ukubwa wa kiwanja? Miundo mbinu iliyopo?
 
Mi nauza kiwanja kIBAHA KWA MATHIAS BEI 28MIL KINA UKUBWA WA ACRE 1.
NAMBA YNGU 0767879784
 
Bado ile OFFER ya viwanja inendelea,wahi kabla ya kuchelewa
CHANIKA;
Ukubwa wa viwanja: 21M X 15M
35M X 15M

Viwanja vimepangiliwa vizuri na kuacha barabara za kuingia kwenye kila kiwanja.
Ni kwa Tsh.1,500,000/= tu

Pia Kim's Real Estate Agency inauza viwanja maeneo Mengine ya Dar es Salaam
Mfano Mbezi Msumi

Ukubwa wa kiwanja 20M X 20M kwa Tsh;3,500,000

Pia unaruhusiwa kutoa ORDER ya kiwanja katika ENEO LA CHAGUO LAKO nasi tutakutafutia.
BILA KUSAHAU KUWA TUNAZO NYMBA ZA BEI NAFUU MAENEO MBALI MBALI YA DAR ES SALAAM.
KARIBUNI SANA!
 
MAWASILIANO:0713565999
0767565999
 
mawasilianoooo mkuu.....mnapatikana wap? even simple advertisement shida kuinyooosha.... hii inatupa bad image ya hii real estate by portrait like ni wababaishashaji.....
 
Bado ile OFFER ya viwanja inendelea,wahi kabla ya kuchelewa
CHANIKA;
Ukubwa wa viwanja: 21M X 15M
35M X 15M

Viwanja vimepangiliwa vizuri na kuacha barabara za kuingia kwenye kila kiwanja.
Ni kwa Tsh.1,500,000/= tu

Pia Kim's Real Estate Agency inauza viwanja maeneo Mengine ya Dar es Salaam
Mfano Mbezi Msumi

Ukubwa wa kiwanja 20M X 20M kwa Tsh;3,500,000

Pia unaruhusiwa kutoa ORDER ya kiwanja katika ENEO LA CHAGUO LAKO nasi tutakutafutia.
BILA KUSAHAU KUWA TUNAZO NYMBA ZA BEI NAFUU MAENEO MBALI MBALI YA DAR ES SALAAM.
KARIBUNI SANA!

Natafuta eneo la barabarani Chanika kabla hujafika Azam cola.iwe ekari moja.
 
Ukubwa wa kiwanja ni 21 kwa 15 na 35 kwa 15....
 
Mkuu inaonesha usivyo na busara na unavyoruhusu akili ya utoto kukuongoza ukubwani...watu wa aina yako wamezoeleka katika jamii
 
Ukubwa wa kiwanja? Miundo mbinu iliyopo?

Ni 21 kwa 15 na 35 kwa 15....na miundombinu kama vile barabara vipo vizuri tu...umeme bado lakini lipo kwenye mchakato
 
Back
Top Bottom