Mkuu nafikiri wewe una yako mengine...mimi nimeweka bango la biashara yangu sasa ni jukumu lako kuangalia umeguswa vipi...ukiona ni bei kubwa sawa ukiona ni affordable karibu...na hata mimi nikiona vile viwanja vya Mbweni vinavyouzwa milioni 300 huwa nakaa kimya tu kama vile havinihusu...sina sababu ya kugombana na muuzaji...Pole kama nimekukwaza.
Rejea lugha yako ulliyotumia. Lugha ya kukera!.
Kwa eneo unalouza hata ungeuza sh. 1000 kwa square meter siwezi kununua, na hasa kwa tabia ya kurumbana na wateja.
Ninaongea kwa interest ya public. Tangazo lako la bei nafuu ulioloweka halina uhalisia kulilngana na bei unayouza na viwanja vyako mahala vilipo ikiwemo saizi ya viwanja vya square meter 200!. Hapo si unajenga mshonano wa watu kuliko hata madhare ya Kenya?
Wazo lako zuri lakini unapashwa kuangalia mbali na uache maneno ya kukera kwenye biashara.