Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu kwa sisi tuliozoea kusema 20×20 tunashindwa kuelewa sqm 256 ni ukubwa gani kwa maana ya upana na urefuSqm 256
Hili zoezi ni endelevu mkuu hata kwa maeneo mengine Dar?Ni sawa na 20 kwa 20 Mkuu
Sqm 1 ni Tsh. 12,000
Kutokana na eneo husika...na ndiyo maana hata sisi kwa eneo kama Mvuti tunauza sqm 1 kwa Tsh.4,000...kumbuka kuwa viwanja vyetu haviko maporini kama mlivyozoea kuuziwa...viko swhemu ambazo tayari zilishaendeleaHii ndiyo bei nafuu???????????????????????
Naona unaleta utani wewe!.
Kutokana na eneo husika...na ndiyo maana hata sisi kwa eneo kama Mvuti tunauza sqm 1 kwa Tsh.4,000...kumbuka kuwa viwanja vyetu haviko maporini kama mlivyozoea kuuziwa...viko swhemu ambazo tayari zilishaendelea
Mkuu nafikiri wewe una yako mengine...mimi nimeweka bango la biashara yangu sasa ni jukumu lako kuangalia umeguswa vipi...ukiona ni bei kubwa sawa ukiona ni affordable karibu...na hata mimi nikiona vile viwanja vya Mbweni vinavyouzwa milioni 300 huwa nakaa kimya tu kama vile havinihusu...sina sababu ya kugombana na muuzaji...Pole kama nimekukwaza.Nania kakuambia tumezowea kuuziwa maporini. Maporini ni wapi wanakoishi watu.? Wanaoishi maporni ni wanyama pori tu. Huko pugu kulikuwa misitu ya kutisha kulijaa majoka makubwa na vitisho vingi sana. Leo unasema eti walikozowea kuuziwa. Viwanja vyenywe unauza viko kama biscuits. Square meter 200 ni uwanja gani kama siyo kuongeza squatters na umaskini katika jamii?
Ongea biashara vizuri. La sivyo utabaki na maviwanja yako unayoyauza bei ghali bila sababu. Wewe umegharimika nini kinachostahili compensation ya 12 m kwa kila mita ya mraba kama ziyo wizi uleule?
Review your prices,
Improve your business language,
Value your market.
Vinginevyo baki na pori lako bwana!
Mkuu unataka picha ya eneo au ramani?...pia ni rahisi zaidi kukutumia kwa whatsapp...naomba unitumie namba yako kwa pmUnaweza kuweka picha ya hivyo viwanja? Vipi kuhusu maji yapo?
Mkuu nafikiri wewe una yako mengine...mimi nimeweka bango la biashara yangu sasa ni jukumu lako kuangalia umeguswa vipi...ukiona ni bei kubwa sawa ukiona ni affordable karibu...na hata mimi nikiona vile viwanja vya Mbweni vinavyouzwa milioni 300 huwa nakaa kimya tu kama vile havinihusu...sina sababu ya kugombana na muuzaji...Pole kama nimekukwaza.
Hii ni 20Metre *20Metre? Au ni FeetNi sawa na 20 kwa 20 Mkuu