Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Nitumie namba zako as sim kesho tuwasiliane bro lkn he watu wamejenga Jr maji na umeme vp
 
Asante mkuu kunielewesha, ntajongeamo humo weekend kucheki mazingira yalivyo
 
Karibu sana...nitumie namba yako ili nikuweke kwenye list ya kwenda site ..0713565999
 
Hii ndiyo bei nafuu???????????????????????

Naona unaleta utani wewe!.
Kutokana na eneo husika...na ndiyo maana hata sisi kwa eneo kama Mvuti tunauza sqm 1 kwa Tsh.4,000...kumbuka kuwa viwanja vyetu haviko maporini kama mlivyozoea kuuziwa...viko swhemu ambazo tayari zilishaendelea
 
Nania kakuambia tumezowea kuuziwa maporini. Maporini ni wapi wanakoishi watu.? Wanaoishi maporni ni wanyama pori tu. Huko pugu kulikuwa misitu ya kutisha kulijaa majoka makubwa na vitisho vingi sana. Leo unasema eti walikozowea kuuziwa. Viwanja vyenywe unauza viko kama biscuits. Square meter 200 ni uwanja gani kama siyo kuongeza squatters na umaskini katika jamii?

Ongea biashara vizuri. La sivyo utabaki na maviwanja yako unayoyauza bei ghali bila sababu. Wewe umegharimika nini kinachostahili compensation ya 12 m kwa kila mita ya mraba kama ziyo wizi uleule?

Review your prices,
Improve your business language,
Value your market.
Vinginevyo baki na pori lako bwana!
 
Unaweza kuweka picha ya hivyo viwanja? Vipi kuhusu maji yapo?
 
Mkuu nafikiri wewe una yako mengine...mimi nimeweka bango la biashara yangu sasa ni jukumu lako kuangalia umeguswa vipi...ukiona ni bei kubwa sawa ukiona ni affordable karibu...na hata mimi nikiona vile viwanja vya Mbweni vinavyouzwa milioni 300 huwa nakaa kimya tu kama vile havinihusu...sina sababu ya kugombana na muuzaji...Pole kama nimekukwaza.
 
Mkuu unataka picha ya eneo au ramani?...pia ni rahisi zaidi kukutumia kwa whatsapp...naomba unitumie namba yako kwa pm

Back
Top Bottom