Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Ok,vipi Tabata Kimanga,maeneo ya Harvad International School?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaamini vp km sio changa la macho?Nikigezo gani kutoka kwenu kinachoweza kutuaminisha kama sio wale ndugu zetu.Samahani kama nimewakwaza lakini.Naomba jibu tafadhali.Taja ukubwa wa kiwanja tafadhali...!
Hahahah,ungeuliza chanika ipi,maana chanika kubwa sana.Bei nzuri hadi nnaogopa.
Hahahah,ungeuliza chanika ipi,maana chanika kubwa sana.
Mie naijua hadi Stand mwisho,maana ndio nilijenga,kuna njia ya kwenda Nzasa kama sikosei mbele huko.
Unahisi eneo gani kati ya hayo hayapo kiswazi zaidi.Yaani yapo ki plan zaidi,njia za kufahamika,ukaribu wa main road nkPale pale karibu na Chanika mjini...mwendo wa dakika 5 kwa gari...Tuna viwanja Lukooni mtaa wa shuleni pale kwa 1.8M..Videte kipepeo road kwa 1.6M na Kibaoni Mji mpya kwa 1.5
Ili kujiaminisha ni vizuri kutembelea na kujionea mwenyewe kwa sababu uzuri si kwamba unalipia bila kuona...unafika site unakagua viwanja,,,unachagua ulichokipenda ...unakwenda serikali za mitaa kupata uhakika na kisha unalipia na kujimilikisha...karibu sanaTutaamini vp km sio changa la macho?Nikigezo gani kutoka kwenu kinachoweza kutuaminisha kama sio wale ndugu zetu.Samahani kama nimewakwaza lakini.Naomba jibu tafadhali.
Unahisi eneo gani kati ya hayo hayapo kiswazi zaidi.Yaani yapo ki plan zaidi,njia za kufahamika,ukaribu wa main road nk
Maana sehem nimeyojenga hata mitaa haipo sawa,gari napark nyumba ya nne.
Asante kwa maelezo yako,hukohuko Kibaoni nahisi ndio mwake.Kibaoni mMji Mpya ndiko kuko vizuri zaidi kwa sababu watu wanajenga mijengo ya kisasa na kuna mazingira mazuri sana...ila kwa ukaribu wa Main Road ni Lukooni na hata Kipepeo Road...ila ni vuzuri zaidi ukaja kujionea mwenyewe
Asante kwa maelezo yako,hukohuko Kibaoni nahisi ndio mwake.
Bei ipoje na ukubwa upoje,na je mtu akitaka viwanja kwam vitatu vinavyofuatana,yaani three in one,kuna punguzo?na je vinapatikana,maana natak kuweka plan of my Dream House with huge Garden and Sports activities kwa watoto wangu.
Maana Baba nimekulia uswahili,watoto wamezaliwa uswahili,ila nataka wakulie angalau kwenye mazingira ya kisasa zaidi.
Haya twende,ili niangalie kama naweze kuja mwezi ujao.
Na Je kuna Fee yoyote kwa mtu anaetaka kwenda kuona?
Bila shaka utapata Mkuu...karibu sana

Kivipi?Serikali yetu tukufu kwa zaidi ya miaka hamsini sasa toka tupate uhuru imeshindwa kuturahisishia maisha,wewe utawezaje?Haahahaa...tunwarahishia watz maisha mkuu...karibu na wewe ufaidi