Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Kivipi?Serikali yetu tukufu kwa zaidi ya miaka hamsini sasa toka tupate uhuru imeshindwa kuturahisishia maisha,wewe utawezaje?

Hahahahaa...kumbuka si kila kitu lazima kifanywe na serikali...hata kukuuzia kiwanja cha 3M kwa 1.5M ni kukurahisishia maisha kupita maelezo..
 
10623515_10153403213541959_4125107466197744015_o.jpg

Vya planning? Hilo eneo la chanika vipi barabara ya kufika huko,miundombinu imewekwa, sijawahi fika
 
Tutajuaje mmiliki halali wa eneo? Kuna vithibitisho vyovyote?
 
Tutajuaje mmiliki halali wa eneo? Kuna vithibitisho vyovyote?

Kabla hatujanunua shamba kwa ajili ya kukata viwanja huwa tunawashirikisha serikali za mitaa hivyo unaweza kwenda kwao na kujiridhisha kuhusu umiliki mkuu...na hata kwenye manunuzi huwa wanathibitisha pia...
 
Back
Top Bottom