Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Mbezi Beach umbali wa chini ya 3km from Beach.
Kiwanja cha Bei rahisi kiasi gani?

Ni Bei Rahisi Sana Mkuu Nayo Ni Kati Ya Tsh Milioni 750 Hadi Tsh Milioni 900 Hivyo Fanya Upesi Uje Uvinunue Kwani Vinagombaniwa Sana Na Vipo Vichache.
 
Kibaoni mMji Mpya ndiko kuko vizuri zaidi kwa sababu watu wanajenga mijengo ya kisasa na kuna mazingira mazuri sana...ila kwa ukaribu wa Main Road ni Lukooni na hata Kipepeo Road...ila ni vuzuri zaidi ukaja kujionea mwenyewe
Bado vipi?
Umbali gani kutoa Stand hadi Kibaoni mji mpya?
Na je vya Kibaoni vina ukubwa gani?
Na mtu akichukua vitatu vinavyofuatana inakuwaje hapo kwenye punguzo?
 
Kwa kweli dar es salaam usafiri umekuwa wa usumbufu sana iwe public transport au own transport, hivyo mimi binafsi kwa wakati huu kutoka na mahitaji yetu, kama nataka kujenga dar es salaam, basi nitatafuta eneo ambalo urahisi wa transport, eneo kama mbezi, kawe,msasani au masaki, transport ni usumbufu, yaani kama unatoka maeneo hayo unaenda posta au kariakoo au airport, utoke alfjir kweli, bila ya hivyo utalala njiani, na prefer zaidi kwa wakati huu,kuishi kama kigamboni, yaani hapo kama kunakuaga na traffic ya magari nachukuwaga baiskeli naburuza kidogo kidogo ukivuka umeingia posta umeingia kariakoo, just 30 mins. Lakini kutoka mbezi hadi posta au kariakoo au eneo lolote la mjini about 2hours.
 
Tunaendelea kukurahisishia maisha

viwanja vya bei kuanzia 1,500,000/ kwa sehemu ambayo umeme utakuwepo baada ya miezi sita na tsh.3,000,000/= kwa sehemu ambayo ina umeme na maji na ni mita 200 tu toka barabara ya lami(videte opposite na shule ya sekondari ya dr. Didas masaburi)

Mawasiliano:
O713565999 / 0767565999 / 0712780906
 
Attachments

  • FlyerNewLargerGeneralNEW1 Backside250.jpg
    FlyerNewLargerGeneralNEW1 Backside250.jpg
    340.5 KB · Views: 465
  • FlyerNewLargerGeneralJF10%.jpg
    FlyerNewLargerGeneralJF10%.jpg
    195.6 KB · Views: 593
Viwanja vyako viko wapi?

Katika mafoto yake hapo naona imetajwa Mbezi Makabe na Mbezi Msumi...

Hizo ni Mbezi Shamba upande wa kulia wa Br ya Morogoro kama unaelekea Kibaha.
 
Viwanja havina ukubwa... Aiseee

Vina ukubwa mkuu...labda inategemea ulikuwa unataka ukubwa gani kwani kuna ukubwa wa standard ya ujenzi wa nyumba ya kawaida na ukubwa wa aina nyingine za ujenzi.
 
Katika mafoto yake hapo naona imetajwa Mbezi Makabe na Mbezi Msumi...

Hizo ni Mbezi Shamba upande wa kulia wa Br ya Morogoro kama unaelekea Kibaha.

Ndiyo Mbezi hiyo Mkuu...
 
Ungeweka namba yako ya simu ingekuwa poa sana

Back
Top Bottom