Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shs.ngapiUkubwa ni 20x15
Sasa unaweza kutazama ramani ya viwanja na kupata taarifa muhimu ya viwanja vilivyouzwa na ambavyo havijauzwa kila siku.Unaweza kufanya BOOKING ya kiwanja toka kwenye picha...taja namba ya kiwanja halafu tujtakupa maelezo ya namna ya kufanya malipo kupitia bank,Karibuni.
Tunaambatanisha picha ya ramani ya viwanja.
Bei ya kiwanja kisicho na hati haiwezi kuwa hiyo!

Contacts: 0713565999 / 0767565999 / 0712780906
Bei ya kiwanja kisicho na hati haiwezi kuwa hiyo!
square meter 300
sqm 300, inamaana urefu meter ngapi na upana ngapi?
15 x 20.....size hii, hiki ni kiwanja cha kujenga nyumba au choo?
duh, alafu hakina hati, makubwa
Kuna watu wageni wa viwanja kweli.
20 x 15 au 17 x 18 unajua ukubwa wake au unabeza tu?
Kinaingia nyumba na Fence na gari mbili unatia ndani.
Nyie mliozoea kukaa kwa mama tabu kweli.Wengine wanajifanya wa masaki kumbe wa kajamba nani.Hovyo kabisa
15 x 20.....size hii, hiki ni kiwanja cha kujenga nyumba au choo?
Kuna watu wageni wa viwanja kweli.
20 x 15 au 17 x 18 unajua ukubwa wake au unabeza tu?
Kinaingia nyumba na Fence na gari mbili unatia ndani.
Nyie mliozoea kukaa kwa mama tabu kweli.Wengine wanajifanya wa masaki kumbe wa kajamba nani.Hovyo kabisa
Unajua kuna watu wabishi kaka,mie yangu ya Chanika mwanzo ni 17 x 14 na gari inaingia,nyumba ya vyumba vitatu.Mkuu nashukuru sana kwa kuwa na hekima ya kuliona hilo...huyo ndugu naona ameamua tu kutumia ujuaji usiokuwa na maana kuchafua ilhali hata kuviona hajaviona....