Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

ok.natarajia nitakuja december.nikija nitakutafuta kwa namba zako.
 
Viwanja vya tsh.1.8m tu vinapatikana katika mtaa uliopangiliwa vizuri...

Pia vile vya mjini kabisa kwenye umeme na maji
mita 200 toka kwenye lami vya 3m bado vipo
na vimebakia vichache sana....

Waweza kulipa kidogo kidogo

karibuni

0713565999 / 0767565999 / 0712780906
 

Attachments

  • RAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI.jpg
    RAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI.jpg
    244.2 KB · Views: 784
Sq meter 300 million tatu kwa chanika? Anyway naona vipo over priced, hiyo bei inaambatana na nini? offer au title?
 
Hivi huko si ndio nimeambiw ajana kuwa Viwanja heka huko ni laki Moja mpaka laki Mbili kutokana ukubw autakao chukua?
 
Back
Top Bottom