Mikidadi Chisala
Member
- Nov 12, 2014
- 52
- 3
Umesema unaweza kulipa kidogo kidogo? Wanapokea sh ngap ya kuanzia na ni muda gani unatakiwa uwe ushamalza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema unaweza kulipa kidogo kidogo? Wanapokea sh ngap ya kuanzia na ni muda gani unatakiwa uwe ushamalza?
300 square meters
Mbona vidogo sana mkuu....
Viwanja vipo Chanika na size ni 20x17....but hapo kwenye kuongeza mashiko sijakuelewa vizuri lqbda unieleweshe ulinaanisha nnlini...
hope alimaanisha uongeze taarifa za kutosha mfn; chanika sehemu gani, vya 2 M vina tofauti gani na vya 1.8 or 3M na mengineyo!!
ok sawa mkuu
Naweza nikapata vinne ambavyo vyenye size 20*17 that means 40 * 34... na bei itakuwa sh ngapi? umepimisha kiserikali au wewe kama wewe tu? hivyo vya 22,23,24 na 25 nikichukua vyotye sh ngapi? na vitakuwa na size gani?
Unaweza kupata Mkuu...
Kwa Videte itakuwa ni 12,000,000 ambavyo ni 12,13,19 na 20(Mteja aliyenunua 19 na 20 ninaweza kuzungumza naye akahamia 26 na 27)
Kwa Lubakaya(Heroes St.) ni 7,200,000 ambavyo ni 8,9, 14 na 15
Kwa Kibaoni ni 6,800,000
Namba zilizowekewa alama ya SOLD vimeshauzwa mfano 22 na 23 vimeuzwa na mteja sifikiri kama atakuwa tayari kuhama kwa sababu sijazungumza naye kuhusu suala hilo...isitoshe 22 na 23 ni watu wawili tofauti
Karibu sana