Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

oh...nimekuelewa...kumbe si kwenye ramani ya videte..hivyo viko available mkuu...kila kimoja ni double (40x17) na ni 3M kwa hiyo vi4 ni sawa na viwanja 8 na ni 12M ni dimensions za 40x68
 
Mkubwa 22,23,24,25 havijaweka bannaer ya sold,12,13,19 na 20 vina barabara kati,8,9,14,15 vina size ngapi?

oh...nimekuelewa...kumbe si kwenye ramani ya videte..hivyo viko available mkuu...kila kimoja ni double (40x17) na ni 3M kwa hiyo vi4 ni sawa na viwanja 8 na ni 12M ni dimensions za 40x68
 
Nikitaka kiwanja changu kiwe na nusu heca nichukue vingapi
 
oh...nimekuelewa...kumbe si kwenye ramani ya videte..hivyo viko available mkuu...kila kimoja ni double (40x17) na ni 3M kwa hiyo vi4 ni sawa na viwanja 8 na ni 12M ni dimensions za 40x68

Mkuu nimekutumia PM kwa hivyo nane vya 40 kwa 68m.
 
Chanika Mjini-Videte
Vimebakia 3 tu

Mtaa wa Kibaoni A
Milioni 1.7 vimebakia 3

Mtaa wa Kibaoni B
Milioni 3 DOUBLE Vimebakia 4
Milioni 2 SINGLE Kimebakia 1
Milioni 1.8 SINGLE Vimebakia 8

PIGA SIMU
0713565999 / 0767565999 / 0712780906 /0769425161
 
Attachments

  • RAMANI SHAMBA LA VIDETE30-01-15.jpg
    RAMANI SHAMBA LA VIDETE30-01-15.jpg
    351.8 KB · Views: 104
  • RAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI 30-1-2015.jpg
    RAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI 30-1-2015.jpg
    255.2 KB · Views: 95
RAMANI YA SHAMBA LA MBEZI MAKABE-MSUMI Priced with side bar-Recovered.jpgRAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI Priced1.jpgRAMANI YA SHAMBA LA CHANIKA SANGARA Priced.jpg
 
Attachments

  • RAMANI YA SHAMBA LA MBEZI MAKABE-MSUMI Priced with side bar.jpg
    RAMANI YA SHAMBA LA MBEZI MAKABE-MSUMI Priced with side bar.jpg
    377.2 KB · Views: 283
mbona huna maelezo vya makabe ukubwa na bei?

Mama Joe...angalia upande wa kulia wa ramani ya Makabe utaona panel yenye maelezo yote...na bei kwenye kila kiwanja nimeweka price tag ya bei yake...karibu sana...ila ukihitaji naelezo zaidi nipatie namba yako kwa PM nikupigie
 
Asante nimeona nilifungua nikasoma mnakopesha Chanika ikanichanganya. Kuna mtu anahitaji ngoja nimuulize kama ataweza bei tutakupigia
 
mbezi makabe/msumi

RAMANI YA SHAMBA LA MBEZI MAKABE-MSUMI No Price-Recovered.jpg

chanika heroes street
RAMANI YA SHAMBA LA KWA MLINZI Priced1.jpg

chanika lubakaya st.
RAMANI YA SHAMBA LA CHANIKA SANGARA Priced.jpg

kwa maelezo zaidi
piga:
0713565999
0767565999
0712780906
 
Aisee weka na coordinates, GPS data na picha za eneo maana kipindi hichi cha uchaguzi ufisadi wa kila aina tutauona mafisadi yakitafuta hela za kununulia viongo vya albino.
 
Back
Top Bottom