Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Unapatiwa hati ya serikali za mitaa mkuu...
..nafikiri utakuwa umenielewa mkuu!.
Yah nimeelewa kwamba Hakuna titles
Nimeona hapo kuwa unaweza kulipa hadi miezi 4. Je, kiwanja cha milioni 1 na lako 8 unaanza kulipa ngapi na kila mwezi unatakiwa kulipa kiasi gani???
...unaanza na at least laki sita (600,000) na hiyo iliyobakia unalipa kiasi unachopata lkn uhakikishe kuwa ndani ya miezi minne unamaliza deni
Mbezi vinaanzia 20 kwa 20 na kuendelea na Chanika vipo vya 15 kwa 20,17 kwa 20 na 20 kwa 20 kutegemeana na eneo husika
...Unapatiwa hati ya serikali za mitaa mkuu...
hati za serikali za mitaa ndo zipi mkuu, mbona mi sijawahi kuzisikia?, zinatolewa kwa utaratibu upi na kwa sheria ipi, ufafanuzi tafadhali.