Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Utapeli wa mjini hamna thibitisha Hilo kwanza tupige simu

Hakuna utapeli mkuu...ukifika utaruhusiwa kutumia njia yoyote unayopenda wewe ya kijiridhisha...ikiwemo kuwahoji majirani,serikali ya mtaa na kadhalika
 
Bado niko kwenye negotiation ya kununua eneo...nikishakamilisha nitakuwa na uhakika kisha nitakuhabarisha
 
Mkopo unakuwa wa muda gani na unalipa kiasi gani na kwa awamu ngapi????

Miezi minne....kwa kiwanja cha 1,500,000 unaanza na 500,000 kisha 400,000 halafu 300,000 na mwisho 300,000
 
Nitakutafuta badae au kesho mkuu nashukuru sana ila visiwe tu vya utapeli maana watu wameumizwa sana na hizi ishu nilimpoteza hadi ndugu yangu alitapeliwa kiwanja tegeta
 
Back
Top Bottom