mwana mpendwa
Senior Member
- Oct 6, 2012
- 171
- 20
Viwanja vya mbezi viko umbali gani toka stand ya mbezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali fafanua; toka lini hati za viwanja zinatolewa na serikali za mitaa? Nilidhani hilo ni jukumu la commissioner wa ardhi!!
Usiwe mgeni namna hyo Mkuu...karatasi yoyote inayotambua umiliki ni hati...hata serikali za mitaa hutoa hati...pia zipo hati za kimila zinazotolewa na viongozi wa familia au koo....zote hizo hutambulisha umiliki wa ardhi na zinatambuliwa na serikali...commissioner wa ardhi hawezi kutoa hati kwa maeneo ambayo bado hayajafanyiwa mpango mji(Master Plan) but hati za kienyeji(Local government) na za kimila hutambuliwa na serikali kwa sababu zinakuwa zimetangulia kabla serijali haijalifanyia mpango eneo...ni utaratibu wa kawaida mkuu..[/QUOTE
Je hizo unazoziita hati za kienyeji na kutambuliwa na serikali unaweza kuzitumia kama collateral [ dhamana]kuombea mkopo kwenye financial institution?

Hiyo inategemea na policy ya bank husika...zipo bank zinazozikubali bila kikwazo (ambazo ni nyingi) na chache huwa hazizikubali hadi uwe umekiendeleza kiwanja i.e at least kimejengwa nyumba ambayo haijamalizika.
Mbezi msumi ndo mbez ipi
Ukifika mbezi unapanda daldala za Msumi, unaenda unapita njiapanda ya Tabata siyo ya tabata segerea, kuna vituo kama pesa pesa, njipanda ya kavimbilwa, Stakishari hadi huko Goba!
kumetulia usafiri upo wa kutosha.
Uko mpakani mwa Chanika na Mvuti...