McAnton
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 259
- 37
- Thread starter
- #181
Hivi huko si ndio nimeambiw ajana kuwa Viwanja heka huko ni laki Moja mpaka laki Mbili kutokana ukubw autakao chukua?
Mkuu si kweli kuwa ekari moja ni laki moja...tungekuwa wapuuzi na walafi wa kupindukia kukata viwanja size hiyo kwa bei hiyo toka katija ekari ya laki moja...eneo tunalokata ekari moja si chini ya 25M...pia ni vizuri kuuliza kuliko ku-speculate...karibu sana