McAnton
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 259
- 37
- Thread starter
- #141
Unajua kuna watu wabishi kaka,mie yangu ya Chanika mwanzo ni 17 x 14 na gari inaingia,nyumba ya vyumba vitatu.
Labda ujenge Hall na sio Nyumba.
Na kama unapesa sio mbaya unanunua viwili kisha unaunga,pesa yenyewe 3m kisha unataka eneo la kujenga hekalu
Kama tulivyongea McAnton Jpili naweza kukutafuta,maana Wife anakuja huko ili mwende sehem zote ikiwemo Mji mpya.Hope naweza kuchukua from 4 - 5 plots,ila tuta jadiliana baada ya kuwa ameviona
Asante sana ndugu...karibu sana!Mwenyezi Mungu akupe wepesi uweze kufanikisha haja yako...