Tunauza Water pumps za Solar

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa.
Bei.

  • Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000.
  • 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000
  • 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150.

0747591578.

Tupo kariakoo.

 

Attachments

  • Screenshot_20230209-135117.jpg
    59.6 KB · Views: 53
Hiyo ya kudumbukiza,2hp ni inch ngapi na inapandisha mita ngapi kwa kispma cha mita 100 chini??Gurantee mda gani?Ufanisi wake kwenye mikoa ya mvua/baridi ukoje maana jua wkt mwingine ni adimu.
 
tunauza powertila, za kilimo pamoja na mashine mbalimbali za umwagiliaji
pia tunauza pikipiki za magurudumu matatu [GUTA]
SOLAR PANELA n.k
tunapatikana kariakoo gerezani makamba na swahili

0785665544
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…