ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Siku zote mkulima ukipanda maharage jua kua utavuna maharage, hivyo hivyo ukipanda mahindi, maparachici, nyanya, karoti, vitunguu nk
Timu ya Senegal ni timu ilioandaliwa karibu miaka 12 iliyopita ikakuzwa mpaka kufikia level Ya under 17 na kupandishwa kuweza sasa kuliwajilisha taifa.
Tunaelezwa kua katika Safari ya kufuzu hawajapoteza hata mchezo mmoja,karibia timu nzima wanacheza nje ya nchi.
Huo ni uwekezaji unaoleta manufaa kwa nchi.
Kwetu hapa kuna kipindi timu ya watoto wa mitaani chini Ya miaka 17 waliwahi kushinda kombe la dunia la watoto,Serikali wala haikustuka na ndio kisa hata wale madogo haijulikani walipoishia!
Serengeti boys Ya miaka miwili iliyopita ilikua nzuri lakini haikufuatiliwa!
Hivi bila ushirikiano mzuri wa serikali na shirikisho la soka kuweka mikakati na malengo Ya mbali tutafanikiwa?
Huu si wakati wa kumlaumu kocha wala wachezaji ni bora lawama iende kwa wizara na Tff .