Tunavuna tulichopanda

Tunavuna tulichopanda

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Siku zote mkulima ukipanda maharage jua kua utavuna maharage, hivyo hivyo ukipanda mahindi, maparachici, nyanya, karoti, vitunguu nk
Timu ya Senegal ni timu ilioandaliwa karibu miaka 12 iliyopita ikakuzwa mpaka kufikia level Ya under 17 na kupandishwa kuweza sasa kuliwajilisha taifa.
Tunaelezwa kua katika Safari ya kufuzu hawajapoteza hata mchezo mmoja,karibia timu nzima wanacheza nje ya nchi.
Huo ni uwekezaji unaoleta manufaa kwa nchi.
Kwetu hapa kuna kipindi timu ya watoto wa mitaani chini Ya miaka 17 waliwahi kushinda kombe la dunia la watoto,Serikali wala haikustuka na ndio kisa hata wale madogo haijulikani walipoishia!
Serengeti boys Ya miaka miwili iliyopita ilikua nzuri lakini haikufuatiliwa!
Hivi bila ushirikiano mzuri wa serikali na shirikisho la soka kuweka mikakati na malengo Ya mbali tutafanikiwa?
Huu si wakati wa kumlaumu kocha wala wachezaji ni bora lawama iende kwa wizara na Tff .
 
Mkuu hii nchi tatzo lipo kwenye mfumo na visionary leaders wao akili zao zipo kwenye maslah zaidi na s weledi ukiingiza siasa kwenye michezo tegemea haya tunayoyaona Leo wanasiasa anachoangalia kujitangaza zaidi tuna academy zpo lakn Binafs lakn uliza mchango wa tff kwenye hzo shulesoka

Zaidi utakuta kodi kandamizi kwenye uingizaji wa vifaa vya michezo kwenye Hizo shule soka n ngumu Sana kuendelea kisoka kama mifumo ndio hii na viongoz ndio hawa ambao siasa kwao ndio kila kitu
Jiulize Swali hv nchi hii inamfumo upi wa soka tunaoutumia na Watanzania tukauelewa mm had Leo sielewi tunatumia mfumo gani

Tff imejaa majungu usimba na u yanga hawataki mawazo mapya wao wanachoamin ndicho hicho

Wenye mawazo mazuri ya soka hawatakiwi kuingia huko wanabaki kuwa wachambuz tu wasoka kwenye TV na radio
 
Aisee kama ndiyo hivi basi tuna safari ndefu sanaa

Back
Top Bottom