Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sio kiburi nikuchoka ni bora ni ntu asarende kuliko kupoteza muda na unajua kura zinaibiwaHiki ni kiburi kilichopitiliza sasa.
Vya kwenye flashKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki. View attachment 3293134
Lakin ndio kikuu cha upinzani, the true upinzani. No cornerschadema ni kachama kamoja katika vyama 10+,should not bother!
Chadema ni chama kimoja katika 10+,sasa inamaana chenyewe ndicho chenye haki saana kuliko vingine?Hiki ni kiburi kilichopitiliza sasa.
uzuri walishatuambia kura zetu haziamui matokeo kwenye chaguzi, bali wao ndio hupanga washindiHiki ni kiburi kilichopitiliza sasa.
Watu hawajajiandaa kwa uchaguzi wamejiandaa kwa uasiKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki. View attachment 3293134
Ukweli mchungu!!uzuri walishatuambia kura zetu haziamui matokeo kwenye chaguzi, bali wao ndio hupanga washindi