NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize.
Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research yako ukiona huko kwao wana mambo haya basi ujue unachezea shilingi (ndoa) kwenye tundu la choo, uakolea kwa huyo mchepuko mpaka kumuona mke wako ni kinyaa.
aliemrekodi kwa usiri itakuwa ni rafiki yake kabisa tena yule shosti yake wanaepeana siri kibao ila likatokea la kutokea huyo shosti yake kaenda kujibanza sehemu amrekodi, Imaweza pia kuwa ni mtu kama jirani ama mpangaji aliegundua hii tabia yake anayoifanya kwa mazoea,