Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi?
Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo!
Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu,
Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr Bashiru basi wana jimbo lake wamtafakari upya
Mtu anaupigwa mwingi Sabuni mche ilikuwa 800 tu sasa hivi 4000 ndio kuupigwa mwingi,
Watanzania inabidi kujitafakari upya kuhusu kuupigwa mwingi
Eti mtu anasimama anaongea na vyombo vya habari anasema yule ni chawa anatakiwa asifie mamlaka iliyomteua, kweli unaona hali si hali kisa chawa ndio usihurumie nchi yako?
Mambo ya nchi hayana uchawa, tunataka mabadiliko, uchawa waachieni wabana pua