SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao!
Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu angalia picha hapo chini utakubaliana na mimi.