Ila kuna wajanja wachache wanaingiza mamillion kupitia huo huo ushabikiUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Akili fupi na mawazo mafupi ni changamotoYaani anataka watu wasishabikie mchezo waupendao?
Halafu nani kamwambia ukishabikia sana Simba na Yanga huna future?
Michezo ni furaha, ukiwa serious sana utakaribisha sonona bure..Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.