MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Tumekuwa tukiwasema Wtanzania humu kwa uzembe wao kwenye hili suala la Corona na jinsi wanajisisifu na kubweteka, lakini kuna Wakenya pia ambao wanakera kishenzi.
Leo nikiwa kwenye mazoezi nimeibua ugomvi na kondaka wa daladala ambaye alikua anapokea abiria bila kutumia kopo la sanitizer kuhakikisha kila abiria ananawa mikono.
Nimetamani kaladinga la polisi liwasombe wote hao abiria, jameni vijana msipokua makini mtazika wazazi wenu wote nchi hii, bora hata kuundwe makundi ya 'vigilantes' wazunguke mida ya asubuhi asubuhi kwenye stendi, wakikuta watu wanafanya vya hovyoo wawe wanawapa kichapo tu maana kuna binadamu bila kipodo huwa hatumii akili.
Huu sio muda kuchekeana, Afrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, ila tusikae kama mazombi wasiokua na mipango yoyote, tuendelee kujichimbia maana hatujui yaliyomo nyuma ya pazia, hatujui kama kiliandaliwa kwenye maabara na aliyekitengeneza hakua na vinasaba vya Kiafrika, kwa haraka kakiachia tu.
Maana imewashangaza hata Wazungu kwanini Afrika hatufi kwa mamilioni, leo hii hata Wakenya ambao wapo karantini, waliogunduliwa kuwa nacho wengi wanawasiliana na familia zao wakiwaambia hamna kikubwa wanachohisi, ila kwa wenzetu uzunguni asilimia kubwa ya wanaoumwa kirusi wanaishia kwenye ventilators. Kinawapiga balaa, wengi wanakufa kwa maelfu.