Anataka kuonyesha kwamba tunalingana katika hili. Ni kawaida ya wakenya kwenye matatizo yao, wanayafanya yaonekane kuwa ni tatizo la Africa nzima, ila kwenye mafanikio, yanakuwa ni mafanikio ya Kenya.
Hili tatizo la Corona ni uzembe wa wakenya kama kawaida, hawatumii akili katika kupanga mipango yao, ni watu wa kukurupuka bila kujua nini wanataka kukipata katika hayo maamuzi yao.
Haya mapambano na Corona, ni kipimo halisi cha kuonyesha jinsi Kenya ilivyo nchi ya hovyo katika ukanda huu, haiwezikani nchi zingine zote zinaonyesha dalili za kutokuwepo kwa maambukizi mapya, ni Kenya pekee ndio kila siku kuna maambukizi mapya. Kwa huu uzembe unategemea nini?
Sent using
Jamii Forums mobile app