Tunawasema Watanzania, lakini kuna baadhi ya Wakenya mabumbumbu pia

Tunawasema Watanzania, lakini kuna baadhi ya Wakenya mabumbumbu pia

Uzembe wenu wa kuiponza Zanzibar, je mlijua na Tanga kirusi kimefika hadi watu wa huko kupeleka Zanzibar, au kwa mlivyo wazembe hamjui chochote.
Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar - JamiiForums
Saa kumi usiku upo JF? Noma jo.
Na Tanga hakuna mgonjwa hadi sasa, believe it or not.
Usijilinganishe na bongo jamaa, utapotea, nzige uliwasikia? Ebola? Hii corona itakwisha Tz.
Endelea ku tune in.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa naanza kazi zangu aidha saa tisa au saa nane maana muda huo sina usumbufu, dunia imetulia napata fursa ya kutumia ubongo vizuri.
Wala sijilinganishi na Tanzania, nasoma taarifa kama zilivyo, mumeshindwa kupima watu ila hamtulii mnazurura na kuwaponza Wazenji, ndugu zenu wametokea na kirusi wameambukizwa Tanga na kukipeleka Zenji.
 
Nishawahi muambia anazeeka vibaya na ni kweli nilikuwa sahihi,
Umenikumbusha kipindi kile cha ebola alivyo kuwa anajitutumua humu 😂
 
Huwa naanza kazi zangu aidha saa tisa au saa nane maana muda huo sina usumbufu, dunia imetulia napata fursa ya kutumia ubongo vizuri.
Wala sijilinganishi na Tanzania, nasoma taarifa kama zilivyo, mumeshindwa kupima watu ila hamtulii mnazurura na kuwaponza Wazenji, ndugu zenu wametokea na kirusi wameambukizwa Tanga na kukipeleka Zenji.
Waliondoka Tanga march 13th. Una uhakika gani walitoka nacho tanga.
I insist, usijilinganishe na bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekuwa tukiwasema Wtanzania humu kwa uzembe wao kwenye hili suala la Corona na jinsi wanajisisifu na kubweteka, lakini kuna Wakenya pia ambao wanakera kishenzi.

Leo nikiwa kwenye mazoezi nimeibua ugomvi na kondaka wa daladala ambaye alikua anapokea abiria bila kutumia kopo la sanitizer kuhakikisha kila abiria ananawa mikono.

Nimetamani kaladinga la polisi liwasombe wote hao abiria, jameni vijana msipokua makini mtazika wazazi wenu wote nchi hii, bora hata kuundwe makundi ya 'vigilantes' wazunguke mida ya asubuhi asubuhi kwenye stendi, wakikuta watu wanafanya vya hovyoo wawe wanawapa kichapo tu maana kuna binadamu bila kipodo huwa hatumii akili.

Huu sio muda kuchekeana, Afrika tumekoswa koswa na hiki kirusi, ila tusikae kama mazombi wasiokua na mipango yoyote, tuendelee kujichimbia maana hatujui yaliyomo nyuma ya pazia, hatujui kama kiliandaliwa kwenye maabara na aliyekitengeneza hakua na vinasaba vya Kiafrika, kwa haraka kakiachia tu.

Maana imewashangaza hata Wazungu kwanini Afrika hatufi kwa mamilioni, leo hii hata Wakenya ambao wapo karantini, waliogunduliwa kuwa nacho wengi wanawasiliana na familia zao wakiwaambia hamna kikubwa wanachohisi, ila kwa wenzetu uzunguni asilimia kubwa ya wanaoumwa kirusi wanaishia kwenye ventilators. Kinawapiga balaa, wengi wanakufa kwa maelfu.
Hapa suala siyo utanzania au ukenya bali hili gonjwa kwanza linatisha, limeibuka ghafla na haliendani na mila na tamaduni zetu. Lakini kadiri siku zinavyokwenda ukubwa wa suala hili linazidi kujikita kwenye fahamu zetu na ndiyo maana watu wengi hivi sasa wanajitahidi kuchukua tahadhari kwa kuangalia mandhari ya mazingira yao.
 
Waliondoka Tanga march 13th. Una uhakika gani walitoka nacho tanga.
I insist, usijilinganishe na bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mwenye uhakika wa kujua nani aliwaambukiza huko Tanga.
Sijilinganishi na Tanzania maana hamjafikia level ya kulinganishwa na Kenya, hili la Corona pekee yake limedhihirisha ukweli wa mlivy nyuma tena mbali sana.
 
Sasa hapo kigoma unalinganisha na nairobi. Hapo hakuna mtu kwanza.
Afu huyo ni kiongozi wa serikali anakosoa, kule kwenu ni mtu aliyewekwa karantini is reporting.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kigoma iko Burundi au Tanzania, hiyo ni mojawapo tu wa vituko mnavyoita karantini.
 
Hakuna mwenye uhakika wa kujua nani aliwaambukiza huko Tanga.
Sijilinganishi na Tanzania maana hamjafikia level ya kulinganishwa na Kenya, hili la Corona pekee yake limedhihirisha ukweli wa mlivy nyuma tena mbali sana.
Hawajaambukizwa Tanga, confirmed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom