Tunawasema Watanzania, lakini kuna baadhi ya Wakenya mabumbumbu pia

Nafikiri ungejibu swali kwanza badala ya KUMSHAMBULIA MTU KWA MANENO..
Kama haujui sema SIJUI..
hakuna atakayekucheka.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mbona hamtaki kutoa idadi ya watu waliopimwa hadi sasa?
 
Mbona hamtaki kutoa idadi ya watu waliopimwa hadi sasa?

Kuna waziri wao wa zamani aliuliza hilo swali kwenye Tweeter kwamba wamepima wangapi ametukanwa na Watanzania, jamaa wananikumbusha kipindi fulani nilikua naogopa kupima UKIMWI, nilienda kwa daktari akanitoa sampuli ya damu na kuweka kwa kale kadude, tukaanza kusubiri, yaani sikusubiri nilitoka nduki.
Baadaye nilipata ujasiri wa kusubiri, tangu kuujua ukweli wala sikua na uwoga tena, siku hizi napima hata bila kutishika na lolote, ukiujua ukweli ni muhimu sana, huondoa panic. Hawa wenzetu hata uwezo huo wa kupma hawana, yaani muda wote wamepima 300 tu.
 
Ahsante Kwa kuanzisha huu Uzi na kutuita wazembe tumeujua ukweli jinsi Kenya mlivyo hovyo katika kuhudumia wagonjwa na walio katika karantini, hivi Kwa video hii mtalinganisha na Tanzania kweli? huyu binti siku alipanda ndege kurudi alikotoka haji tena Kenya. Kwa Hali hii Kenya kuifikia Tanzania msahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzembe huu wasitarajie kuwanan.ahueni hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani nyamaza kwa video hio ni sawa na hujavaa nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hatuwezi kuwafikia maana mpo chini yetu na hatutawahi rudi chini.
 
kwa hiyo unataka kusema kwamba Tz ndo kuna uzembe wa kujiknga na Corona?,umepimaje huo uzembe?,na Tz gani hii unayoionglea,..maana nilio mm kuna sehemu huwezi ingia kama hujanawa,kuna maduka yameandikwa kabosa huwzi ingia dukani bila kunawa,vitakasa mikono madukani vimekwisha ama kupandishwa bei,sasa kama kuna uzembe hiyo inaashiroa nini..........WAKENYA PUNGUZENI KUFIKIRIA KWA MATAKO
 
umeandika kwa uchungu sana...
 
Buda si hio Kigoma kidogo ifanane na Turkana hivi? Tofauti ni mvua tu otherwise the ignorance is much the same.
Nimependa Huyo Mkuu wa mkoa jinsi alivyo pro active.
 
Usiwe serious hivyo utapata mshtuko was moyo bro.
 

Uzembe wenu wa kuiponza Zanzibar, je mlijua na Tanga kirusi kimefika hadi watu wa huko kupeleka Zanzibar, au kwa mlivyo wazembe hamjui chochote.
Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar - JamiiForums
 
Ongea propaganda weee Ila cc tunaimba tu, Wacha na waisome namba eeee , watasisoma namba Tanzania mbele kwa mbele .Namba inasoma 4-2 na waliopona 2-3
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…