Tunawashukuru Marekani kwa kusimama na Watanganyika. Iwapendeze tu mfanye Military Intervention kuwakomboa Watanganyika

Kwa akili zako ndogo sio rahisi kuielewa hiyo tweet iliyoandikwa kwa kiingereza. Wewe level yako ni tweets za kina Twaha Mwaipaya
Nyie ndo mnaelewa vizuri tweets za Wamarekani sio?

Sawa. Tutakuwepo
 
Appreciation Post kwa Marekani.

Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM.

Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi yetu.

Kwa sasa Tanganyika Wananvhi hatuko huru. Imefika hatua hata kama kuna huduma mbovu zinatolewa na Serikali huwezi kusema chochote maana utakapojaribu kutoa mawazo yako au kukosoa utatekwa na kupotezwa kama sio kufunguliwa kesi za uongo na kuozea gerezani.

Imefika hatua sasahivi thamani ya utu wa mwananchi haipo Tanganyika. Chaguzi zinaendeshwa kama kiini macho cha demokrasia. Wananchi hatuwezi kuwachagua Viongozi tunaowataka watuongoze na hatuwezi kuwawajibisha pale inapobidi wawajibishwe.

Imefika hatua wizi na ufisadi ni alama ya weredi hapa Tanganyika. Ukiwa mwizi na fisadi ndo unafisiwa, ndo unaabudiwa ndo unaonekana wewe ni mtu wa maana kwenye jamii. Hatuna Taasisi Tanganyika, hatuna uwajibikaji Tanganyika. Hakuna tena dhana ya kusimamia kwa uzalendo maslahi ya Wananchi kwa faida yao.

Tunaongozwa na wezi walioiba uchaguzi na wanaolazimusha kututawala kwa nguvu. Walio tayari kutuua na kutupoteza ili kulinda maslahi yao binafsi.

Uchawa ndo ajira yao rasmi. Badala wafanye jitihada kuwajaza vijana maarifa ili walete mabadiliko chanya kwa jamii wanawanyima vijana hizo fursa adhimu na wanawafanya kuwa machawa wao. Kuwalamba miguu na kuwasifia mitandao masaa 24.

Watanganyika tunapenda kuwashukuru sana Marekani kwa namna mnavyosimama kuwasema hawa kina Samia na CCM yao.

Tunajua kuwasema peked haitoshi. Dunia ilipofika bila kuchukua hatua kama mnazochukua Venezuela itaenda kuwa sehemu mbaya sana ya kuishi na kwa maisha ya binadamu.

Tunaomba mfanye kama mlivyofanya kwa Makabulu wa Afrika Kusini hadi walipoona Dunia yote haipo upande wao na kuamua kuwaachia Wananchi wa Afrika kusini.

Tunaomba muwaweke Samia na Wakuu wake wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye orodha ya Watu hatari sio tu kwa Watanganyika na Marekani bali kwa Dunia nzima.

Tunaomba mkiweke CCM kuwa kama kikundi cha kigaidi kwa namna kinavyoendesha operesheni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kuwaua, kuwateka na kuwapoteza wananchi wanaokosoa Serikali yao dhalimu.

Tunaomba muilazimishe jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua kali sana dhidi ya Samia na genge lake ikiwemo kuvichukulia pia vyombo vya Ulinzi vya Tanfanyika hasa TISS, JWTZ na Polisi kama vikundi vya kigaidi.

Mwisho tunaomba iwapendeze mfikirie kuchukua hatua mnazochukua Venezuela kwa Tanganyika ( Tanzania) ili kutukomboa sisi Watanganyika dhidi ya hawa Mashetani CCM na Serikali yao.

Mungu awabariki Marekani.

Mungu ibariki Tanganyika.
Upelekwe Mirembe. Una tatizo kubwa la afya ya akili
 
Sawa

Tutakuwepo.
Ondoa hayo mawazo ya kumtaka Mmarekani akufanyie military intervention.

Ni ujinga. Ni uvivu. Ni kumpa Mmarekani kazi unayotakiwa kuifanya wewe mwenyewe.

Ni kumpa Mmarekani mzigo wa lawama kuwa anaingilia mambo ya nchi nyingine na kujifanya polisi wa dunia.

Mmarekani alikuwa na utawala asioutaka wa mkoloni Muingereza akapigana vita kuuondoa. Wengine wakamuona anapigana wakamsaidia.

Sasa wewe hata kupigana hujaanza unataka Mmarekani aje akufanyie military intervention?

Wewe Mtanzania umepigana wapi?
 
Kwa hali iliyopo bila msaada wa Kimataifa nchi ndo imezikwa hii.

Hakuna namna mwananchi wa Tanganyika au Tanzania anaweza fanya lolote kuibadilisha hii nchi kwa sasa.
 
Wamarekani ni wakombozi ndo maana waliikomboa Iraq , Libya, Syria, na sasa Venezuela. Na ndo maana mpaka Leo nchi hizo Zina demokrasia ya kiwango Cha juu.
Huko Syria ishakuwa nchi ya maziwa na Asali. Vilevile Libya na Iraq
 
Kwa hii mentality mtapigwa sana.

Jumuiya ya kimataifa itakusaidia ukionesha unasimamia jambo lako, wao wanakuja kama msaada kukusaidia wewe. Wewe unatakiwa kuonesha una organization fulani, kuna kazi fulani unaifanya, kuna resistance fulani unaifanya.

Vinginevyo, hata kukusaidia wataanzia wapi? Waje tu na jeshi kufanya uvamizi bila hata kujua wanasimamia wapi, na nani?

Jumuiya ya kimataifa ipo na itakusaidia. Kuna mambo yapo effective kuliko military intervention acheni huu ujinga wa kufikiria kila tatizo linatatuliwa na jeshi.

Hivi hamjasoma historia na kujua kuwa Vietnam, Iraq, Libya kila sehemu kwenye nchi kubwa Mmarekani alipofanya military intervention hakujaishia vizuri?

Hivi huwa mnasoma hata historia tu au mnajishebedua kubiringita kama guluguja tu kwa reflex action?
 
Wamarekani ni wakombozi ndo maana waliikomboa Iraq , Libya, Syria, na sasa Venezuela. Na ndo maana mpaka Leo nchi hizo Zina demokrasia ya kiwango Cha juu.
Huko Syria ishakuwa nchi ya maziwa na Asali. Vilevile Libya na Iraq
Huyu jamaa Lord Denning asamehewe kwa sababu anaandika kwa hisia za bangi
 
Appreciation Post kwa Marekani.

Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM.

Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi yetu.

Kwa sasa Tanganyika Wananvhi hatuko huru. Imefika hatua hata kama kuna huduma mbovu zinatolewa na Serikali huwezi kusema chochote maana utakapojaribu kutoa mawazo yako au kukosoa utatekwa na kupotezwa kama sio kufunguliwa kesi za uongo na kuozea gerezani.

Imefika hatua sasahivi thamani ya utu wa mwananchi haipo Tanganyika. Chaguzi zinaendeshwa kama kiini macho cha demokrasia. Wananchi hatuwezi kuwachagua Viongozi tunaowataka watuongoze na hatuwezi kuwawajibisha pale inapobidi wawajibishwe.

Imefika hatua wizi na ufisadi ni alama ya weredi hapa Tanganyika. Ukiwa mwizi na fisadi ndo unafisiwa, ndo unaabudiwa ndo unaonekana wewe ni mtu wa maana kwenye jamii. Hatuna Taasisi Tanganyika, hatuna uwajibikaji Tanganyika. Hakuna tena dhana ya kusimamia kwa uzalendo maslahi ya Wananchi kwa faida yao.

Tunaongozwa na wezi walioiba uchaguzi na wanaolazimusha kututawala kwa nguvu. Walio tayari kutuua na kutupoteza ili kulinda maslahi yao binafsi.

Uchawa ndo ajira yao rasmi. Badala wafanye jitihada kuwajaza vijana maarifa ili walete mabadiliko chanya kwa jamii wanawanyima vijana hizo fursa adhimu na wanawafanya kuwa machawa wao. Kuwalamba miguu na kuwasifia mitandao masaa 24.

Watanganyika tunapenda kuwashukuru sana Marekani kwa namna mnavyosimama kuwasema hawa kina Samia na CCM yao.

Tunajua kuwasema peked haitoshi. Dunia ilipofika bila kuchukua hatua kama mnazochukua Venezuela itaenda kuwa sehemu mbaya sana ya kuishi na kwa maisha ya binadamu.

Tunaomba mfanye kama mlivyofanya kwa Makabulu wa Afrika Kusini hadi walipoona Dunia yote haipo upande wao na kuamua kuwaachia Wananchi wa Afrika kusini.

Tunaomba muwaweke Samia na Wakuu wake wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye orodha ya Watu hatari sio tu kwa Watanganyika na Marekani bali kwa Dunia nzima.

Tunaomba mkiweke CCM kuwa kama kikundi cha kigaidi kwa namna kinavyoendesha operesheni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kuwaua, kuwateka na kuwapoteza wananchi wanaokosoa Serikali yao dhalimu.

Tunaomba muilazimishe jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua kali sana dhidi ya Samia na genge lake ikiwemo kuvichukulia pia vyombo vya Ulinzi vya Tanfanyika hasa TISS, JWTZ na Polisi kama vikundi vya kigaidi.

Mwisho tunaomba iwapendeze mfikirie kuchukua hatua mnazochukua Venezuela kwa Tanganyika ( Tanzania) ili kutukomboa sisi Watanganyika dhidi ya hawa Mashetani CCM na Serikali yao.

Mungu awabariki Marekani.

Mungu ibariki Tanganyika.
completely nonsense :pedroP:
 
Back
Top Bottom