Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Mwekezaji hawezi kuingiliwa na serikali so mapato yote atakayoyapata DPW baada ya uwekezaji huu ni vigumu hizo pesa kupigwa na serikali otherwise labda kuwa na makubaliano binafsi na jambo hilo ni ngumuTatizo la rushwa haliko bandarini tu. Kwanza huko bandarini ni sehemu ndogo sana. Rushwa iko kwenye serikali nzima. Hata hizo zitakazopatika huko bandarini zitapigwa juu kwa juu na kina Samia na Rostam.
Na DPW hawezi kuiendesha bandari hii kwa rushwa coz anahitajika alipe kodi na hilo haliwezj kuepukika kwasababu mkataba utamlazimu mwekezaji alipekodi kulingana na mapato anayoyaingiza na mifumo yote ya mapato yanaunganishwa na serikali hivo rushwa ni ngumu sana kuwepo