Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

Tatizo la rushwa haliko bandarini tu. Kwanza huko bandarini ni sehemu ndogo sana. Rushwa iko kwenye serikali nzima. Hata hizo zitakazopatika huko bandarini zitapigwa juu kwa juu na kina Samia na Rostam.
Mwekezaji hawezi kuingiliwa na serikali so mapato yote atakayoyapata DPW baada ya uwekezaji huu ni vigumu hizo pesa kupigwa na serikali otherwise labda kuwa na makubaliano binafsi na jambo hilo ni ngumu

Na DPW hawezi kuiendesha bandari hii kwa rushwa coz anahitajika alipe kodi na hilo haliwezj kuepukika kwasababu mkataba utamlazimu mwekezaji alipekodi kulingana na mapato anayoyaingiza na mifumo yote ya mapato yanaunganishwa na serikali hivo rushwa ni ngumu sana kuwepo
 
TPA lazima ifeli tu, maana Chama kikiwa na shida ya noti kinachota pia huko TPA bila taratibu ya utowaji!!
 
Wewe unaweza kuwekeza sehemu mabilion kwa mkataba wa miaka mitano?
Haitafaa. Kama ni usimamizi tuu bila kuwekeza ni sawa. Lakini kusimamia Bandari bila vitendea kazi na miundombinu ya kisasa hakutakuwa na tija. Cha msingi kuwe Na win win situation Na mambo ya bila ukomo yatoke.
 
Shida yote ilianzia hapa πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ , najuta kabisa kuwasanua hawa jamaa

 
Ubinafsishwajj ni jambo la muhimu katika maendeleo ya nchi, hawa wazawa TPA wamejaarushwa hujumu, na ufisadi hii bandari inawanufaisha wachache. Tunamtaka DP WORLD kwa maslahi ya taifa
Kimsingi DPW na waarabu wao hatuwataki kabisa, anaonekana ni mlaghai. Tufanye wenyewe au la mbia mwingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…