Eghainimalinya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 214
- 267
Mkuu uki deal na watumishi wa umma haiwezi kua hivyo unavyofikiria lkn lazima changamoto ziwepo na changamoto kubwa ndo hiyo ya marejesho lkn lazima uweke target kua ktk wateja 10 warejeshe 7 kwa wakati na 3 wachelewe kidogo sio kwamba hawatarejesha kabisa hapana kama yuko hai atarejesha tuMicrofinance ni changamoto kwenye marejesho unaweza kujikuta umefilisika
Kila kitu kinachangamoto zake mkuu lkn inategemeana umejipanga vipi ktk kukabiliana na changamoto zenyeweNaona kama unadhamiria kuwakwapua.. Maana microfinance inafanya vizuri kwenye uchumi ambao middle class wanashamiri..
Kwa sasa utashuhudia default nyingi sana ..kukua kwako kutategemea sana uwezo wako wa kukusanya madeni...hasa kuwa na roho kama simba kwa wanaoshindwa kulipa na ndio wengi.
Mkuu inabidi uni pm ili tuzungumze vyema zaidiUmeanza na mtaji wa kiasi gani mkuuu...
Na changamoto mpaka sasa unazokutana nazo ni zip
Ni pm ndugu tunaweza jadili vyemaUmeanza na mtaji kiasi gani
Au umegeuka mnyama kwa kuwapora watanzania masikini.Microfinance ni changamoto kwenye marejesho unaweza kujikuta umefilisika
Kama kuna watu wanapora watanzania basi hawa BAYPORT wanaongozaAu umegeuka mnyama kwa kuwapora watanzania masikini.
very goodSekta binafsi ikifa hata Pato La taifa linaathirika,kanuni ya kusoma namba ni lazima hata mgawa namba aisome naye pia.Vyuma vikikaza ukaza pote hadi kwenye hazina kuu.