Tunawezaje kuigeuza hii hali ngumu ya uchumi kuwa fursa?

Tunawezaje kuigeuza hii hali ngumu ya uchumi kuwa fursa?

Microfinance ni changamoto kwenye marejesho unaweza kujikuta umefilisika
Mkuu uki deal na watumishi wa umma haiwezi kua hivyo unavyofikiria lkn lazima changamoto ziwepo na changamoto kubwa ndo hiyo ya marejesho lkn lazima uweke target kua ktk wateja 10 warejeshe 7 kwa wakati na 3 wachelewe kidogo sio kwamba hawatarejesha kabisa hapana kama yuko hai atarejesha tu
 
Naona kama unadhamiria kuwakwapua.. Maana microfinance inafanya vizuri kwenye uchumi ambao middle class wanashamiri..

Kwa sasa utashuhudia default nyingi sana ..kukua kwako kutategemea sana uwezo wako wa kukusanya madeni...hasa kuwa na roho kama simba kwa wanaoshindwa kulipa na ndio wengi.
Kila kitu kinachangamoto zake mkuu lkn inategemeana umejipanga vipi ktk kukabiliana na changamoto zenyewe
 
Back
Top Bottom