Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

Sikuhizi waafrica wamekuwa wapumbavu sana, Takataka za hovyo tulizo zoea kuzisikia kwa wazungu na waarabu, sasa waafrica wanaiga na kuonyeshana kwenye tv
"Waarabu" wamekusikilizisha "takataka" zipi?
 
nafikiri kuna settings za parental control unaweza tumia ukaseti mida yao tu waone kitu fulani tu kwa faida yao, ila pia kuwatoa out mazoezi na kucheza itaokoa kama alivyoshauri mdau hapo juu na pia kingine kuwanunulia zile tablets za watoto za 150,000
 
Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki.

Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo.

Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo hapo wanakodoa.

Hata hizi katuni ambazo tunawawekea napo Kuna maudhui yasiyofaa, ukisema ufungie Yako, kwa jirani zipo zinafungiuliwa na huwezi wafungia ndani.
×wdq w
Hivi tunawalindaje vijana wetu hawa?
Ntmok
 
Back
Top Bottom