"Waarabu" wamekusikilizisha "takataka" zipi?Sikuhizi waafrica wamekuwa wapumbavu sana, Takataka za hovyo tulizo zoea kuzisikia kwa wazungu na waarabu, sasa waafrica wanaiga na kuonyeshana kwenye tv
Kwa dunia ya leo,is it possible?Sio lazima pia kuwa na TV, habari zote unazipata kwa simu yako.
Hela ya TV unaweza nunua kinanda, guitar, vitabu, computer za watoto n.k.
Kwani Tanzania hakuna Waarabu?Nenda Egypt, Algeria na Pemba ukaone.
Nimeorodhesha hapo na bado unauliza,Chaneli zipi zinazoangalizika ?
NtmokKama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki.
Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo.
Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo hapo wanakodoa.
Hata hizi katuni ambazo tunawawekea napo Kuna maudhui yasiyofaa, ukisema ufungie Yako, kwa jirani zipo zinafungiuliwa na huwezi wafungia ndani.
×wdq w
Hivi tunawalindaje vijana wetu hawa?
Kabisa. Nyumba bila TV inawezekana kabisaKwa dunia ya leo,is it possible?