Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno.

Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili.

Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila huruma yoyote na kejeli juu.

Kuna watu wanateseka sana huku mtaani hasa walioa dogo dogo ama dada dada ni fedheha tupu huku kitaa.

Jua likizama kubali Giza tulia., Hawa tumbili wanachukua kila kitu pension yote yote, vitega uchumi vyote.

Kabla hujabeba tumbili au fisi gawa urithi mapema, gawa urithi mapema vinginevyo hawa tumbili na hawa fisi ndio hawa hawa waliowahi kutoa mimba za kutosha.

Ni angalizo tu

Wadiz
 
Baadhi ya ndoa zinakuja kukuletea matatizo uzeeni
Don't marry if at all you had never thought of marrying. For example if someone had suffered trauma in relationships and vowed not to marry stick to that and the reciprocal truth has bitter rand heavier epercussions
 
Wazee wanaooa mabinti wadogo wengi huoa makaburi yao na migogoro ya mali kwenye familia wanazoziacha. Mbaya zaidi huwa wanajua uhalisia wa wanachokifanya ila bado huendelea na mipango yao

Ila ngoja nizeeke kwanza pengine nitakuja kuwaelewa
 
Nadhani Pesa ndo muhimu zaidi ili kufanikisha yote.

1. Usipooa basi uwe na pesa ya kuajiri vijakazi wa kukufanyia kazi zote za nyumbani ikiwemo na kukubeba kutoka kitandani kukubandika juani.

2. Ukioa ni muhimu kuwa na pesa kwaajili ya kumtunza mkeo.

Tuendelee kusaka pesa vijana wenzangu ya uzeeni ni magumu zaidi
 
IMG-20240330-WA0000.jpg
 
Kabisa msingi mkuu ni pesa.Mungu atujalie wanaume vipato.
 
Wazee wanaooa mabinti wadogo wengi huoa makaburi yao na migogoro ya mali kwenye familia wanazoziacha. Mbaya zaidi huwa wanajua uhalisia wa wanachokifanya ila bado huendelea na mipango yao

Ila ngoja nizeeke kwanza pengine nitakuja kuwaelewa
Kuna Mzee alikua kwenye 70s, mkewe alifariki na watoto wake walikua Ulaya, watoto wake kwa umoja wao wakamuomba baba yao aoe ili apate mtu wa kumuangalia kwa ukaribu, akapatikana mwanamke mmoja wa mjini tu, ndoa ikafanyika tukaufinya mpunga (kitu cha biriyan na mandi [emoji1787]) basi bwana Mzee alirudi ujana, alipendeza, alinenepa, yule Mwanamke alijua kumuhandle huku watoto wa mzee wanampelekea kila alichokitaka,

Nakumbuka niliwahi kuwatembelea once na bi maza kwa kweli maisha yao yalikua full kutaniana yaani ilikua raha sana kuwatizama, Mzee alikuja kufariki miaka 12 baadae, wanasema alifariki akiwa ana tabasamu [emoji847],

Baada ya Mazishi watoto wa Mzee walimpa mjengo wa ghorofa mbili Mama yao kama ahsante ya kumtunza Baba yao, Gari ya kutembelea na baadhi ya miradi, mpaka leo yule Mwanamke hajaolewa anasema hawezi kupata raha alizopatiwa na Mzee wake (sijui mzee alikua anamfanyia nini mambo ya chumbani hayo [emoji119][emoji23])

So yeah, kinachowaua wazee wengi ni upweke hasa mwenza wake wa tangu ujanani akitangulia ndio maana wengine wanatafuta replacement angalau apate happy life kabla hajafa.
 
Sasa huyo mzee anayeoa wakati amekwisha si anajitakia maumivu?
Sasa hivi kuna wimbi kubwa la wanawake,mabinti,singles kukimbilia wastaafu!
Ukisikia hii misemo kama ni Mzee kimbia," Ng'ombe hazeeki maini" au "Umri ni namba tu"!
Hawangoji kutongozwa!
 
Kuna Mzee alikua kwenye 70s, mkewe alifariki na watoto wake walikua Ulaya, watoto wake kwa umoja wao wakamuomba baba yao aoe ili apate mtu wa kumuangalia kwa ukaribu, akapatikana mwanamke mmoja wa mjini tu, ndoa ikafanyika tukaufinya mpunga (kitu cha biriyan na mandi [emoji1787]) basi bwana Mzee alirudi ujana, alipendeza, alinenepa, yule Mwanamke alijua kumuhandle huku watoto wa mzee wanampelekea kila alichokitaka,

Nakumbuka niliwahi kuwatembelea once na bi maza kwa kweli maisha yao yalikua full kutaniana yaani ilikua raha sana kuwatizama, Mzee alikuja kufariki miaka 12 baadae, wanasema alifariki akiwa ana tabasamu [emoji847],

Baada ya Mazishi watoto wa Mzee walimpa mjengo wa ghorofa mbili Mama yao kama ahsante ya kumtunza Baba yao, Gari ya kutembelea na baadhi ya miradi, mpaka leo yule Mwanamke hajaolewa anasema hawezi kupata raha alizopatiwa na Mzee wake (sijui mzee alikua anamfanyia nini mambo ya chumbani hayo [emoji119][emoji23])

So yeah, kinachowaua wazee wengi ni upweke hasa mwenza wake wa tangu ujanani akitangulia ndio maana wengine wanatafuta replacement angalau apate happy life kabla hajafa.
Good story with a happy ending ila nazozijua mimi nyingi ziliishia kwenye yowe na mahakama.

Nilichokisoma pia kwa hiyo story, watoto walikuwa wanajiweza kwa hiyo mali za mzee wao ilikuwa ni extra na pia huyo mtoto wa mjini aliridhika na mzee wake 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Wazee wanaooa mabinti wadogo wengi huoa makaburi yao na migogoro ya mali kwenye familia wanazoziacha. Mbaya zaidi huwa wanajua uhalisia wa wanachokifanya ila bado huendelea na mipango yao

Ila ngoja nizeeke kwanza pengine nitakuja kuwaelewa
Shida ya kuishi ujana wote mahusiano ya kupambana kutafuta hela tuu na kukosa muda wa kupata intimacy na mwanamke. Mtu wa hivi akipata mali umri umeenda anajikuta hajawahi pendana na mtu so lazima atafute binti ambaye bado mbichi ndio ampe hayo mahaba maana akitamtafuta mzee mwenzake hawataenjoy hayo mapenzi hata iweje mzee ana stress zake na ukute hajui mapenzi.

So njia rahisi ya kuepuka huo mtego wa kuingia mahusiano na kutafuta mahaba utu uzimani ni kujenga intimacy na mwanamke wako wa sasa ili usianze kuweweseka uzeeni.

Na kama ukikosa then uzeeni sio muda wa kutafuta mapenzi ni muda wa kutulia ukifurahia na ku reminisce nyakati nzuri za ujana wako.
 
Wako macho kweli na masikio yamewasimama kama yale ya sungura,,yanaangalia mawindo wapi kuna pensheni na mali za kutosha wakazikwapue kwa kujifanya wife material
 
kwamba kuna kataa ndoa wanakujaga kukengeuka badae wana oa aisee
 
Wazee wanaooa mabinti wadogo wengi huoa makaburi yao na migogoro ya mali kwenye familia wanazoziacha. Mbaya zaidi huwa wanajua uhalisia wa wanachokifanya ila bado huendelea na mipango yao

Ila ngoja nizeeke kwanza pengine nitakuja kuwaelewa
Kaa hiyo tusioe dogo dogo
 
Back
Top Bottom