Trump aliwahi kusema Africa inahitaji kutawaliwa Tena. Shida ni kwamba tunaamini wazungu ni miungu.Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia kiwanda chaArusha kuzalisha ARVs au kuna kingine kinazalisha?
Kwaiyo tumeshindwa kusaidiana vipatikanike vifungashio vingineDawa haikuwa feki.
Vifungashio ndio vilikuwa na tatizo. Dawa zikapata ukungu.
Huyu alikuwa anazalisha ARVs fake Kwa mujibu wa mashtaka yake miaka ile
Ana wazimu kivipi tena wakati ni hiyari kutoa njugumawe?Basi apewe tena tender alishe taifa maana kimeshanuka,Trump anasema haiwezekani utamu wapate wengine hela za dawa atoe yeye!!!
Clearly kabisa huyo mzee ni kama ana wazimu akisema anafanya kweli cha kufanya tuwahi mapema kabla hali haijawa mbaya.
Hapa inawezekana pia alikuwa anapigwa zengwe na makampuni makubwa ya huko magharibi yalikuwa yanatuuzia ARVs kwa fedha za wamarekaniHuyu alikuwa anazalisha ARVs fake Kwa mujibu wa mashtaka yake miaka ile
Kwahiyo kuzitegemea ni kutaka kuua raia
Ni hatari Kwa Usalama wa Nchi
Hilo unaloongea linawezekana kuwa ni sababu moja wapoHapa inawezekana pia alikuwa anapigwa zengwe na makampuni makubwa ya huko magharibi yalikuwa yanatuuzia ARVs kwa fedha za wamarekani
Serikali yetu Badala ya kumsaidia arekebishe makosa atengenezw nzuri wakafungulia sijui kesi ya uchumi.
Ni sawa na ukikutwa umeunda bunduki unafungwa.Nadhani kama nchi tunatembeaga na mihemuko ya kutoka magharibi.
sasa mtu amewekeza mitambo mikubwa na kusajiliwa na kuajili mamia wa Tz,halafu unapigwa za uso