Tunazalisha ARVs humu nchini?

Tunazalisha ARVs humu nchini?

Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia kiwanda chaArusha kuzalisha ARVs au kuna kingine kinazalisha?
Trump aliwahi kusema Africa inahitaji kutawaliwa Tena. Shida ni kwamba tunaamini wazungu ni miungu.
 
Zitauzwa bei kama hospital inakosa Gloves tu ee Mungu
 
Basi apewe tena tender alishe taifa maana kimeshanuka,Trump anasema haiwezekani utamu wapate wengine hela za dawa atoe yeye!!!

Clearly kabisa huyo mzee ni kama ana wazimu akisema anafanya kweli cha kufanya tuwahi mapema kabla hali haijawa mbaya.
Ana wazimu kivipi tena wakati ni hiyari kutoa njugumawe?
 
Huyu alikuwa anazalisha ARVs fake Kwa mujibu wa mashtaka yake miaka ile

Kwahiyo kuzitegemea ni kutaka kuua raia

Ni hatari Kwa Usalama wa Nchi
Hapa inawezekana pia alikuwa anapigwa zengwe na makampuni makubwa ya huko magharibi yalikuwa yanatuuzia ARVs kwa fedha za wamarekani

Serikali yetu Badala ya kumsaidia arekebishe makosa atengenezw nzuri wakafungulia sijui kesi ya uchumi.

Ni sawa na ukikutwa umeunda bunduki unafungwa.Nadhani kama nchi tunatembeaga na mihemuko ya kutoka magharibi.
sasa mtu amewekeza mitambo mikubwa na kusajiliwa na kuajili mamia wa Tz,halafu unapigwa za uso
 
Hilo unaloongea linawezekana kuwa ni sababu moja wapo

Japo hatuna uhakika wa taarifa kutoka kwenye mamlaka zinazotakiwa kuthibitisha ubora wa hayo madawa yalikuwa yanazalishwa na Bwana Madabila, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM
 
Back
Top Bottom