Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Trump aliwahi kusema Africa inahitaji kutawaliwa Tena. Shida ni kwamba tunaamini wazungu ni miungu.Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia kiwanda chaArusha kuzalisha ARVs au kuna kingine kinazalisha?