Tunda Achana na mlitoz

Tunda Achana na mlitoz

mizee ya kichaga inapenda pesa tu!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

kwanza tunda jina lake anaitwa Anna peter Sabasita Kimaroo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hadi majina yote manne una yajua!!!
Ba wewe wamooo!!! Halafu wewe ndio hatari maana una act undercover, kama hujui vile, kumbe wajua
Sasa si ujiunge na kina sudy kabsa.

Ila kweli what will he do wakat binti yake ana tengeneza pesa zaid hata yake andelee tu kupokea pesa hana jinsi.
 
ac9117f106159aaeadec7446012cfed0.jpg

mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
Hilo kweli ni lisagaji siyo jitu zuri kabsa
 
Kutembea na huyo msichana haimaanishi anajihusisha na vitendo vya usagaji na huyo msichana

Muda mwingine inatokea mtu mnakutana tu katika events mbalimbali haimaanishi kwamba huyo mtu ni best yako sema tatizo la wabongo wanapenda kuunganisha matukio na kuchafua wengine ili wajitengenezee jina wenyewe,

Yani wakikuona mara mbili au mara tatuu basii wana conclude na wanakutengenezea skendo

Acheni hayo mambo hayajengi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hadi majina yote manne una yajua!!!
Ba wewe wamooo!!! Halafu wewe ndio hatari maana una act undercover, kama hujui vile, kumbe wajua
Sasa si ujiunge na kina sudy kabsa.

Ila kweli what will he do wakat binti yake ana tengeneza pesa zaid hata yake andelee tu kupokea pesa hana jinsi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe je

bora huyo shule imemshinda Ila anatumia urithi wa bibi vzr...

wengine mnapigwa mimba mnazalishwa kwisha habari

unalea mwana na wajukuu
 
mizee ya kichaga inapenda pesa tu!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

kwanza tunda jina lake anaitwa Anna peter Sabasita Kimaroo
Na Hilo jina la Sabasita sio jina lake halisi ni la utani sababu ya namba yake ya kijeshi ni D 7676 so wakati akiwa mwalimu kule CCP moshi ndo watu walimtunga Hilo jina
 
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao ki ukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa adabu,kuwa hautarudia kilichotokea, hapo nakupa Big Up nakupa hongera kwa kukiri ni kweli ulikua unatumia madawa na sasa hivi mpo na akina T.ID na rommy jones kwenye campaign za kuzuia madawa,hiyo imekaa poa, kilichonishtua ni ukaribu wako na msagaji maarufu bongo,mlitoz, huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael na mastaa wengine kibao, mashilawadu wanakuona siku hizi uko zero distance na hyo msagaji ,wameniambia nikuonye mdogo wao usiingie huko tena ukaanza kuharibika, tunda we bado mdogo na mzuri sana tu,kama shule umeona hauwezi (maana si mchezo kusoma kipaji kama huna usilazimishe) ni bora ukaweka nguvu zako kwenye u video vixen,modelling hata bongo movie pia unalipa, achana na ma group ya hao mashoga na wavuta unga watakuaribia maisha,wewe mwenyewe uliona ulivyokua ndani wale ma best zako mnaokunywaga wote ma Moet hawakuwepo,ulikua mwenyewe tu, muulize lulu kuhusu marafiki atakuadithia,badilika
warumi Leo umeongeaaaaa.....[emoji106]
 
Na Hilo jina la Sabasita sio jina lake halisi ni la utani sababu ya namba yake ya kijeshi ni D 7676 so wakati akiwa mwalimu kule CCP moshi ndo watu walimtunga Hilo jina
Asante kwa kunirekebisha pia Ila baba askari mtoto teja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijui inakuaje yaanii na shule pia kashindwa looohhh
 
Kutembea na huyo msichana haimaanishi anajihusisha na vitendo vya usagaji na huyo msichana

Muda mwingine inatokea mtu mnakutana tu katika events mbalimbali haimaanishi kwamba huyo mtu ni best yako sema tatizo la wabongo wanapenda kuunganisha matukio na kuchafua wengine ili wajitengenezee jina wenyewe,

Yani wakikuona mara mbili au mara tatuu basii wana conclude na wanakutengenezea skendo

Acheni hayo mambo hayajengi
hubby wa tunda ktk ubora wakeee...

ukimgusa tunda umeumiaaaa.....
 
Kutembea na huyo msichana haimaanishi anajihusisha na vitendo vya usagaji na huyo msichana

Muda mwingine inatokea mtu mnakutana tu katika events mbalimbali haimaanishi kwamba huyo mtu ni best yako sema tatizo la wabongo wanapenda kuunganisha matukio na kuchafua wengine ili wajitengenezee jina wenyewe,

Yani wakikuona mara mbili au mara tatuu basii wana conclude na wanakutengenezea skendo

Acheni hayo mambo hayajengi
Hance wa tunda kishafika eneo la tukio....wacha weeee
 
Back
Top Bottom