Tunda Achana na mlitoz

mkuu unamjua tunda vizuri au unamuonaga instagram tu? kaa karibu na watoto wa mujini.
 
aiseeh kweli humu nina mashabiki wa kweli,dah kumbe unakumbuka?ile ilivunja rekodi aiseeh watu walikufa mbavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mchezooo
ubuyu wa enzi.zile unaenda dirishani.kwa wema kuwachungulia wema na diamond...
unaenda kulala msiba.wa.msanii.ili upate umbea ha ha ha ha ila we mtu kwakweli hapana
 
Asante kwa kunirekebisha pia Ila baba askari mtoto teja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijui inakuaje yaanii na shule pia kashindwa looohhh
tena baba yake ni mkaliii balaaa alipokuwa moro mateja na vibaka walikuwa wakimuhara kumbe teja anae mwenyewe



mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
 
tena baba yake ni mkaliii balaaa alipokuwa moro mateja na vibaka walikuwa wakimuhara kumbe teja anae mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufukuza wa wenzaako wa kwako wanakushindaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....Mungu fundiii
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Bob mbona povu!!?

Tunda asha kobolewa hakuna namna kibaba!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe je

bora huyo shule imemshinda Ila anatumia urithi wa bibi vzr...

wengine mnapigwa mimba mnazalishwa kwisha habari

unalea mwana na wajukuu
Hahahaha
Aaah kweli
Mchuma janga hula na wa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…